Tag: nafasi za kazi
Nuh Mziwanda afuta tattoo ya Shilole
Aliyewahi kuwa mpenzi wa mwanamuziki na mjasiriamali Zena Yusuf Mohammed maarufu kama Shilole, msanii Nuh Mziwanda hatimaye amefuta tattoo aliyokuwa a [...]
Wajasiriamali wadogo wanavyonufaika na ujenzi wa madarasa na vituo vya afya
Utekelezaji wa mradi wa vyumba vya madarasa kupitia fedha za mpango wa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya Uviko-19 na ule wa ujenzi wa vituo vya af [...]
Mkubwa Fella afunguka msanii mwingine kuondoka WCB
Said Hassan Fella maarufu kama Mkubwa Fella ambaye ni mmoja kati ya mameneja wa msanii nyota nchini Tanzania, Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz, ame [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Januari 19, 2022
Hizi hapa video zinazopeta kwenye mtandao wa Youtube Tanzania leo Jumatano Januari 19, 2022. Husikubali kupitwa
https://www.youtube.com/watch?v=CRc [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Januari 18, 2022
Hizi hapa video zinazopeta kwenye mtandao wa Youtube Tanzania leo Jumanne Januari 18, 2022. Husikubali kupitwa
https://www.youtube.com/watch?v=CRcm [...]
Rangi 5 zakuvutia kwa wanawake
Umewahi kusikia au kuambiwa na mtu kwamba, "Rangi fulani inakupendeza zaidi?", au "Rangi fulani inaonekana nzuri zaidi kwa mtu fulani na si mtu fulani [...]
Mahakama yaja na teknolojia ya akili bandia
Akizungumzia kuhusu wiki ya siku ya sheria na siku ya Sheria, Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amesema kuwa, ili kuhakikisha mhimili wa Ma [...]
Mrithi wa panya Magawa apatikana
Baada ya kifo cha panya Magawa hatimaye mrithi wake amepatikana anafahamika kwa jina la Renin ambapo taarifa zinasema tayari yupo nchini Cambodia kuen [...]
Mwanafunzi afariki baada ya kujirusha ghorofani
Manawa Horera mwanafunzi wa mwaka wa pili wa kitivo cha Shahada ya Uhasibu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), amefariki baada ya kuanguka kut [...]
Mfahamu John Okello aliyeshiriki Mapinduzi ya Zanzibar
John Gideon Okello ni raia wa Uganda aliyeshiriki katika Mapinduzi yaliyoitoa Zanzibar kutoka kwenye minyororo ya utawala wa Waarabu.
Alizaliwa mw [...]