Tag: trending videos
Nuh Mziwanda afunguka haya juu ya Shilole
Mwanamuziki wa bongofleva Nuh Mziwanda, amefunguka na kueleza kuwa bado ana mpenda msanii na mfanyabiashara Zuwena maarufuku kama Shilole na kusema ku [...]
MunaLove ajuta
Msanii wa filamu za bongo na mjasiriamali Rose Alphonce maarufu kama Muna Love, amekiri kuwa mdhambi na kumsoea Mwenyezi Mungu kwa matendo yake baada [...]
Dar kinara visa vipya vya corona
Mganga mkuu wa Serikali, Dk. Aifello Sichalwe ametoa taarifa kuhusu maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa UVIKO-19 na kusema kw [...]
Keisha alilia mrabaha wake bungeni
Msanii na Mbunge wa Viti Maalumu Khadija Taya maarufu kama Keisha, amefunguka bungeni na kuanza kudai mirabaha na kusema na yeye anastahili kupewa kwa [...]
Kiswahili chatambulika rasmi kama lugha ya kazi Umoja wa Nchi za Afrika (AU)
Mkutano wa 35 wa wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) umeridhia na kupitisha ombi la Tanzania la kutaka Kiswahili kiwe lugha ya kazi kati [...]
Tamko kuhusu IST kupita daraja la Tanzanite
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam , ACP Jumanne Muliro ametoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zinazosem [...]
Kim na Kanye wageuka paka na panya
Mwanamitindo Kim Kardashian na rapa Kanye West ambapo awali walikua kwenye mahusiano na kubarikiwa kupata watoto wanne, North, Psalm, Chicago na Saint [...]
Fahamu faida 4 za kununua nguo za mtumba
Nguo za mtumba ni zile ambazo tayari zimekwisha tumika na mtu au watu wengine sehemu nyingine na kuuzwa tena kwa ajili ya matumizi mengine. Watu wengi [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Februari 4,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania. Husikubali kupitwa;
https://www.youtube.com/watch?v=PkXxm2tCtgs&list=PLq [...]
Furahia wikiendi na filamu ya ‘The girl allergic to Wi-Fi’
Huwenda ukawa umewahi kusikia magonjwa mengi lakini je, umeshawahi kusikia ugonjwa wa mtu kutoruhusiwa kuwa karibu na sehemu yenye mtandao au kutumia [...]