Tag: trending videos
MV Mwanza kufanya safari za Kenya na Uganda
Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imesema meli ya kisasa ya Mv Mwanza Hapa Kazi Tu itaanza kufanya safari za Uganda na Kenya katika ziwa Victoria baada ya [...]
Nafasi za kazi Wizara ya Afya
Wizara ya Afya imetangaza nafasi za ajira 247 zikihusisha madakitari bingwa 30, baada ya kupata Kibali cha Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa U [...]
Nafasi za kazi bungeni
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeundwa kwa mujibu wa Ibara ya 62(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977. Aidha, Iba [...]
Waliobaki Ngorongoro waomba kupelekwa Msomera
Wananchi wanaoishi katika Kijiji cha Kipenjiro, Kata ya Naiyobi katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro, wameomba serikali iharakishe mchakato wa kuwaha [...]
Madini ya kinywe na adimu kuvutia uwekezaji nchini
Serikali inatarajia kuvutia uwekezaji wa Dola za Marekani milioni 667 sawa na Sh1.5 trilioni baada ya kuanza kuchimba na kuchakata madini ya kinywe na [...]
Uchumi wa Tanzania kuupita wa Kenya ifikapo 2028
Kinyanga'nyiro cha ukuu wa kiuchumi katika ukanda wa Afrika Mashariki kinatarajiwa kuchukua mkondo wa ushindani zaidi huku makadirio yakionyesha Tanza [...]
Muungano 2023 kusherekewa kipekee
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema maadhimisho ya sherehe za miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ya mwaka 2023 yatafanyika katika ngazi y [...]
Serikali yapiga ‘stop’ mikopo ya halmashauri
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezielekeza halmashauri zisitishe utoaji wa fedha za mikopo kwa vikundi vya wanawake , vijana na watu wenye ulemavu zina [...]
Fahamu miji 8 mizuri barani Afrika
Vyombo vingi vya habari hasa nje ya Afrika, hulizungumzia bara la Afrika kama masikini lenye mazingira ambayo siyo rafiki na kuonyesha picha zenye kue [...]
Nafasi za kazi kwa kada za afya na ualimu, 2023
TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA NA ELIMU,2023
[...]