Tag: trending videos
Jengo jipya la abiria Uwanja wa Ndege Songwe lakamilika
Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imekamilisha kwa asilimia 100 ujenzi wa jengo jipya la abiria katika uwanja wa ndege wa Songwe [...]
Rekodi yavunjwa ongezeko la watalii wa kigeni
Mapato yanayotokana na utalii yamezidi kuongezeka kutoka Dola za Kimarekani bilioni 1.3 mwaka 2021 hadi kuvunja rekodi na kufikia Dola za Kimarekani b [...]
Sera za Rais Samia zilivyoimarisha shilingi ya Tanzania kwa miaka mitatu mfululizo
Tangu aingie madarakani Machi 19, 2021 , Rais Samia Suluhu ameweza kuimarisha thamani ya shilingi ya Tanzania na kuendelea kuwa imara ikilinganishwa n [...]
TPDC yasaini mikataba ya Sh60 bilioni kuongeza umiliki wa kitalu
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeongeza mara mbili umiliki wa kitalu cha gesi asilia cha Mnazi Bay baada ya kusaini mikataba miwili [...]
Matokeo Kidato cha Nne 2023
Baraza la Mitihani (NECTA) limetangaza watahiniwa 484,823 sawa na 87.65% wa mtihani wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 2023 wamefaulu.
Akitangaz [...]
Rais Samia awasili Indonesia
Rais Samia Suluhu Hassan alifika Jakarta leo kuanza ziara ya kiserikali nchini Indonesia. Nchi hiyo ya Kusini Mashariki mwa Asia imeendelea kuwa na uh [...]
Tanzania ya pili uzalishaji wa tumbaku Afrika
Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Mhe. Hussein Bashe amesema takwimu za hivi karibu zinaonyesha Tanzania imekuwa mzalishaji wa pili mkubwa wa tumbaku [...]
Bei ya mafuta yashuka
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa zitakazotumika [...]
Mwindaji wa mamba alifuata sheria
Uchuguzi unaonesha mwindaji raia wa Marekani, Josh Bowmer katika tukio la kuuwa mamba eneo la kitalu cha Lake Rukwa GR alifuata sheria kwa kuwa na kib [...]

Rais Samia achangia Sh. milioni 150 ujenzi wa kanisa Machame
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi milioni 150 kuchangia ujenzi wa Kanisa la KKKT la Bethel Usharika wa Nshara Machame Mkoani Kilimanjaro anakos [...]