Tag: trending videos
Serikali yatoa tamko kuhusu ugonjwa usiofahamika
Taarifa kwa vyombo vya habari na wananchi kuhusu ugonjwa usiofahamika Mkoani Lindi
[...]
Mwongozo wa kuomba mikopo
Bodi ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefungua dirisha la mikopo kwa wanafunzi kwa mwaka 2022/23 na kutoa mwongozo wa namna ya kuomba mikopo.
[...]
Bei ya umeme kwa uniti
Waziri wa Nishati, January Makamba ametangaza Sh.1,600 kuwa bei mpya ya umeme kwa uniti, katika maeneo yanayopata huduma hiyo nje ya gridi, hasa umeme [...]
Bingwa kuingiza watalii Tanzania
Idadi ya watalii waliotembelea Tanzania miezi mitano iliyopita imeongezeka hadi kufikia 458,048 huku nchi ya Kenya ikiwa ni miongoni mwa nchi zilizoin [...]
Ugonjwa mpya Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amekiri kuwepo kwa ugonjwa usiofahamika ambao husababisha watu kutokwa damu puani n [...]
Rayvanny aondoka rasmi WCB
Raymond Shaban Mwakyusa maarufu kama Rayvanny, ametangaza rasmi kutoa kwenye lebo ya muziki ya Wasafi inayomilikiwa na msaani Diamond Platnumz ikiwa n [...]
Dar es Salaam jiji la 6 kwa usafi Afrika
Rais Samia amesema kwamba jarida la Africa Tour Magazine, limelitangaza jiji la Dar es Salaam, ni Jiji la sita kwa usafi barani Afrika, ambapo katika [...]
Waziri Mkuu asimamisha kazi watumishi 9
Waziri Mkuu wa, Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Jumanne Shauri na watumishi wengine tisa wa jij [...]
Benki ya Dunia yaipa pongezi Tanzania
Benki ya Dunia imeipongeza Tanzania kwa kuamua kuwekeza kiasi kikubwa cha fedha kwenye maeneo ya uzalishaji kikiwemo kilimo, mifugo na uvuvi mambo amb [...]
Majina ya walioitwa kwenye usaili TSN
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Magazeti ya Serikali (TSN) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walio [...]