Author: Asmah Sirikwa
Kilichomtesa Rais wa UAE kwa miaka 8
Rais Sheikh Khalifa bin Zayed al-Nahyan wa Umoja wa Falme za Kiarabu (United Arab Emirates) amefariki dunia hii leo akiwa na umri wa miaka 73.
Kwa [...]
Diamond kununua ‘Jet’ 2022
Msanii Diamond Platnumz amewaambia mashabiki wake kwa kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa ana mpango wa kununua 'Private Jet' yaani ndege binafsi k [...]
Raba ya Milioni 4
Kwa wale wapenzi wa fasheni na bidhaa zenye majina watakuwa wameisikia sana Balenciaga kampuni ambayo inatengeneza bidhaa za fasheni za kisasa na za g [...]
Rihanna kufungua duka Kenya
Mwanamuziki na mfanyabiashara, Robyn Rihanna Fenty maarufu kama 'Rihanna' ametangaza kufungua maduka ya vipodozi vyake vya Fenty Beauty katika nchi sa [...]
Spika aarifiwe uamuzi wa Baraza Kuu CHADEMA
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje CHADEMA, John Mrema amesema hatua inayofuata kufuatia kuondolewa uanachama kwa wanachama wake 19 ni [...]
Vinywaji vinavyopunguza maji mwilini
Kwa kawaida tunakunywa maji mengi na vimiminika kwa wingi ili kuongeza maji mwilini lakini sivinywaji vyote huongeza maji mwilini kwani vingine husaba [...]
Biashara Tanzania-Uganda kuimarika
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania pamoja na Rais Yoweri Museveni wa Uganda kwa pamoja wameagiza watendaji wao kuhakikisha wanaondoa vikwazo vya kib [...]
Auza mabati ya nyumba yake kulipia matibabu ya mwanae
Baba mmoja raia wa Kenya anayeishi Kakamega, ameezua mabati ya nyumba yake na kuyauza ili kupata pesa ya kulipia bili ya mwanae ya hospitali.
Willy [...]
Ishara kuwa uliwahi kupata UVIKO-19
Wimbi la ugonjwa wa UVIKO-19 limeathiri wengi duniani huku wengine wakionesha ishara za wazi za ugonjwa huo na wengine kutoonesha ishara zozote kabisa [...]
Kikao cha dharura kushusha bei ya mafuta
Kufuatia malalamiko ya wananchi kutokana na kupanda kwa kasi kwa bei za mafuta kulikopelekea pia kupanda kwa bei za bidhaa na huduma mbalimbali nchin [...]