Author: Asmah Sirikwa
Njia 4 za kuacha matumizi mabaya ya simu
Simu za mkononi zimekuwa ni sehemu kubwa ya maisha ya mwanadamu hasa katika dunia hii ya utandawazi. Wakati mwingine watu hutumia muda mrefu kwenye si [...]
Sababu za Afrika kukaa kando vita Urusi-Ukraine
Vita ya Ukraine na Urusi ambayo bado inaendelea imeitikisa dunia kwa kiwango kikubwa huku nchi, na kampuni mbalimbali zikichagua upande wa kuegemea ka [...]
Miaka 5 jela kwa kutumia mualama uliokosewa
Maskini akipata, matako hulia mbwata ndio msemo unaoweza kufananishwa na kile alichofanya Sibongile Mani, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Walter Sisulu ( [...]
Rick Ross kufika kilele cha Mlima Kilimanjaro
Rapa wa Marekani William Leonard Roberts II (Rick Ross) leo Machi 31, 2022 katika mahojiano yake na Full Send Podcast ameweka bayana nia yake ya kupan [...]
Rais Samia apangua baraza la mawaziri
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko katika Wizara ya Maliasili na Utalii, Wizara ya Katiba na Sheria na Ofisi ya Waziri mKuu (Bunge, Sera na [...]
Fahamu njia ya uzazi wa mpango kwa kugandisha mayai
Moja kati ya hofu ya wanawake wengi ni kuchelewa kupata mtoto kwa kuhofia mtoto kukosa virutubisho vya muhimu kwenye ukuaji lakini pia mayai kuzeeka i [...]
Steve Nyerere aachia kiti
Msanii Steve Nyerere ametangaza kujiuzulu kutoka nafasi ya usemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania (SMT) baada ya kuibuka kwa watu wasio na imani nay [...]
Mrema apata jiko kwa milioni 4.2
Mwenyekiti wa Tanzania Labour Party (TLP), Augustino Mrema leo Machi 24, 2022 amefunga pingu za maisha na mkewe Doreen Kimbi katika Parokia ya Uwombon [...]
Umy Mwalimu: Hakuna kirusi kipya
Kufuatia kusambaa kwa kasi kwa kirusi kipya cha UVIKO-19 ( Omicron BA.2) duniani, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kirusi hicho hakijafi [...]
Fursa za kibiashara Magomeni Kota
Rais Samia Suluhu Hassan amezindua nyumba 644 za Magomeni Kota leo Machi 23, 2022 na kuainisha fursa kadha wa kadha za kibiashara katika makazi hayo.
[...]