Author: Cynthia Chacha
Waliovamia ikulu ya Sri Lanka wakamatwa
Serikali ya Sri Lanka, inakabiliana na baadhi ya viongozi wa waandamanaji walioandaa vuguvugu lililomwondoa madarakani rais wa nchi hiyo mwezi uliopit [...]
Rais Samia azindua mradi wa maji Mbalizi
Rais Samia Suluhu Hassan amezindua mradi wa maji wa Shongo- Mbalizi uliopo mkoani Mbeya ambao umegharimu zaidi ya Sh3.3 bilioni na utahudumia zaidi wa [...]
Siku ya bia duniani
Wakati ulimwengu ukiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Bia leo, wataalamu wameeleza kinywaji hicho kinapewa umuhimu kwa sababu ya kuwaunganisha watu katik [...]
Royal Tour yaleta mafuriko ya watalii nchini
Idadi ya watalii wanaokuja nchini baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kushiriki na kuongoza ziara za uzinduzi wa filamu ya Royal Tour nchini Marekani im [...]
Serikali yatenga bil. 2.1 kwa ajili ya mashindano ya UMITASHUMNTA na UMISSETA
Naibu Waziri Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. David Silinde ameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendel [...]
Magazeti ya leo Agosti 5,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Agosti 5,2022.
[...]
Tanzania na China kuendeleza ushirikiano
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya watu wa China zimeahidi kuendeleza ushirikiano wa kidiplomasia baina ya nchi hizo kwa kuzing [...]
Viongozi hakuna kutoka mpaka sensa imalizike
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amewaagiza viongozi wa Serikali ngazi ya mkoa na wilaya [...]
WhatsApp kuwaongezea nguvu Ma-admin
Mtandao wa kijamii wa WhatsApp siku zijazo utawaongezea nguvu viongozi wa makundi ya mtandao huo kuwa na uwezo wa udhibiti ikiwemo kufuta ujumbe wa wa [...]
Magazeti ya leo Agosti 4,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Agosti 4,2022.
[...]