Author: Cynthia Chacha
Rais Samia afanya uteuzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Zakhia Hamdan Meghji kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Sayans [...]
Magazeti ya leo Agosti 2,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Agosti 2,2022.
[...]
Rais Samia ataja vigezo vya kuteua viongozi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Agosti 1,2022 amewaapisha viongozi wateule Ikulu, Dar es Salaama na kutaja vigez [...]
DK. Kikwete achaguliwa kuongoza uchaguzi Kenya
Rais wa awamu ya nne wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ameteuliwa kuongoza ujumbe wa Wachunguzi wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya kutoka Jumuiya ya Afrik [...]
Simba wasaini bilioni 26.1 na M- Bet
Klabu ya Simba ya Dar es Salaam na Kampuni ya michezo ya kubashiri ya M-Bet, leo wametangaza mkataba wao wa udhamini wa miaka mitano wenye thamani ya [...]
Bakuli latembezwa na Chadema kuwakabili kina Mdee
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza kuchangisha fedha kutoka kwa wanachama wake, kugharamia mawakili watakaosimamia kesi ya waliokuwa [...]
‘Girlfriends day’ ni kwa Marekani tu
Leo Agosti 1, ni siku ya marafiki wa kike ‘girlfriends day’ na tofauti na ilivyo kwa siku ya wapendanao, siku hii ni mahususi kwa wanawake kwa ajili y [...]
Aliyeteuliwa atenguliwa kabla ya uapisho
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Meja Jenerali Suleiman Mzee kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na ametengua uteuzi wa Dk Raphael Chegeni.
Taarifa ya Mkuru [...]
Magazeti ya leo Agosti 1,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Agosti 1,2022.
[...]