Author: Cynthia Chacha
199 namba mpya ya huduma kwa wateja
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unapenda kuujulisha Umma kuwa, katika kuboresha huduma zake za mawasiliano, unabadilisha namba ya simu bila mali [...]
Zawadi za Rais Samia kwa Watanzania kutoka Oman
Haijapata kutokea, ndivyo unavyoweza kusema kuhusu mafanikio ya Serikali ya Awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan katika suala zima la kukuz [...]
Faida za kuvaa soksi wakati wa tendo la ndoa
Tafiti iliyofanywa na Gert Holstege mwaka 2015 ilibanini kwamba asilimia 50 ya wanandoa waliweza kufurahia zaidi kushirikia tendo la ndoa wakiwa wamev [...]
Rais Samia atimiza ahadi ya bajaji kwa Clara
Lile agizo alilolitoa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan la kumpatia bajaji mjasiriamali wa lishe, Clara Sanga alilolitoa juzi kwenye maadhimisho ya miaka [...]
Magazeti ya leo Juni 29,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Juni 29,2022.
[...]
Matunda ya Royal Tour
Filamu ya Royal Tour pamoja na ziara za Rais Samia Suluhu Hassan nje ya nchi, zimefungua uchumi wa Tanzania kwa kuongeza uwekezaji kutoka Dola za Mare [...]
Ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa wizi wa ndimu
Mahakama ya Wilaya Mwera imemhukumu Ramadhan Gere Shija (20) mkazi wa Bungi kutumikia Chuo cha Mafunzo kwa muda wa mwaka mmoja na kulipa faini ya Sh5, [...]
Wanaotuma ujumbe wa jiunge na freemason wakamatwa
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu 23 kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya utapeli kwa njia ya mtandao.
Kukamatw [...]
Mapato ya uwindaji wa kitalii yaporomoka
Mapato yatokanayo na uwindaji wa kitalii unaofanyika katika mapori tengefu na mapori ya akiba Tanzania yameporomoka kwa Sh1.3 bilioni ndani ya mwaka m [...]