Author: Cynthia Chacha
Magazeti ya leo Juni 23,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Juni 23,2022.
[...]
Serikali yatoa ruksa kwa wahamiaji wa Msomera kuhamia vijiji vingine
Serikali imeridhia maombi ya baadhi ya wananchi wanaohama kwa hiari yao kutoka hifadhi ya Ngorongoro kwenda katika maeneo mengine tofauti na Kijiji ch [...]
Watu wanne wamefariki ajali ya treni Tabora
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linataarifu umma kuwa Treni ya abiria namba Y14 injini namba 9019, iliyokuwa ikisafiri kutoka Kigoma kuelekea Dar es Sa [...]
Wahamiaji loliondo kukiona cha mtema kuni
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji nchini Dkt. Anna Makakala, ametangaza kuanza kwa oparesheni maalum ya siku kumi kwa ajili ya [...]
Tanzania yateuliwa kuwa Mjumbe Baraza la Amani na Usalama AU
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeteuliwa kuwa mjumbe wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika kupitia kanda ya Mashariki kwa kipindi cha mia [...]
Malima atoa masaa 24 kwa watendaji Msomera
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Malima ametoa saa 24 kwa watendaji na maofisa wanaosimamia miundombinu ya huduma za kijamii na sekta ya mifugo kwa wananch [...]
Naomi Osaka kuzindua kampuni ya Hana Kuma
Mchezaji wa tenisi kutoka nchini Japan, Naomi Osaka anatarajia kuzindua chombo chake cha habari alichokipa jina la ‘Hana Kuma’ akishirikiana na bingwa [...]
Mwendokasi Mbagala kwa 650
Wakala wa mabasi yaendayo haraka DSM (DART) imetangaza ruti mpya ya mabasi hayo itakayoanzia Uwanja wa Maonesho wa Mwl J.K Nyerere (Sabasaba) hadi Mba [...]
Mwanaume akutwa na sehemu za siri 5 za mwanamke
Mkazi wa Maswa mkoani Simiyu, Salum Nkonja maarufu kama Emmanuel Nkoja amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka 11, yakiwemo [...]
Mbivu na mbichi za kina Mdee leo
Maombi ya wanachama 19 wa zamani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kibali cha kupinga kufukuzwa uanachama, yatajulikana leo Mahakama i [...]