Author: Cynthia Chacha
Mikoa 3 inayoongoza kwa kelele
Baraza la Taifa la Hifadhi ya Mazingira (NEMC) imetaja mikoa mitatu inayoongoza kwa malalamiko ya kelele kuwa ni Dar es Salaam, Mwanza na Dodoma na ku [...]
500,000 ikifichua wezi miundombinu ya umeme
Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), limetangaza zawadi ya sh. 500,000 kwa mwananchi atakayefichua wezi wa miundimbinu ya umeme.
Shirika hilo limese [...]
Meneja mpya wa Konde Gang
Mmoja wa viongozi wa lebo ya Konde Gang, Chopa kupitia ukurasa wake wa Instagram amemtambulisha muigizaji Kajala Masanja kama meneja wa lebo hiyo inay [...]
Shaka akerwa na danadana Mtwara
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amekerwa na danadana zinazoendelea katika kupata utatuzi wa mgo [...]
Marufuku kusafirisha wanyamapori
Waziri wa Maliasi na Utalii Pindi Chana ameagiza kusitishwa mara moja kwa usafirishaji wa wanyamapori nje ya nchi kama ambavyo ilitangazwa juzi na Kam [...]
Magazeti ya leo Juni 6,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Juni 6,2022.
[...]
Serengeti Girls yafuzu Kombe la Dunia
Timu ya taifa ya Wanawake chini ya miaka 17 ya Tanzania, Serengeti Girls imefuzu kucheza fainali ya Kombe la Dunia 2022 nchini India.
Ushindi huo w [...]
Magazeti ya leo Juni 5,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumapili Juni 5,2022.
[...]
Ruksa kusafirisha wanyamapori hai nje
Wizara ya Maliasili na Utalii Tanzania imetangaza kuruhusu usafirishaji wa Wanyamapori hai nje ya nchi kwa Wafanyabiashara waliokuwa na Wanyamapori wa [...]
Aina 5 ya vyakula vinavyosaidia kupata mapacha
Watu wengi wanapendelea kupata watoto mapacha, lakini baadhi ya mambo kama umri, historia ya familia na maradhi yanaweza kusababisha ukashindwa kufani [...]