Author: Cynthia Chacha
Namna Ma-DC na DED walivyotapeliwa
Jeshi la Polisi mkoa wa Dar es Salaam linamshikilia mfanyabiashara Emmanuel John (38) kwa tuhuma za kutapeli viongozi wa Serikali, wakiwemo Wakuu wa W [...]
TCRA yaanza vita dhidi ya warusha maudhui ya ushoga
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema inaanza kufanya uchunguzi wa vituo vyote vya luninga na mitandao ya kijamii inayorusha maudhui ya katun [...]
Magazeti ya leo Juni 4,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Juni 4,2022.
[...]
Serikali kutumia tiktok
Mbunge wa Viti Maalum, Martha Gwau ameishauri Wizara ya Maliasili na Utalii kutumia mitandao ya kijamii kutangaza vivutio mbalimbali vya utalii huku a [...]
Nafasi za kazi Ubalozi wa Tanzania nchini India
Ubalozi wa Tanzania nchini India unatangaza nafasi za kazi kwa madereva.
[...]
Aomba talaka baada ya kunyimwa unyumba
Mwalimu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Halis Mbwagolo (44) ambaye ni mkazi wa Dodoma, amemfikisha mahakamani mumewe Denis Nyoni (49) akidai talaka b [...]
Tahadhari: Wimbi la 5 Virusi vya Corona
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewataka Watanzania wajikinge na ugonjwa wa Covid-19 kwa kuwa kuna dalili za kuingia kwa wimbi la tano la virusi vya cor [...]
Magazeti ya leo Juni 3,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Juni 3,2022.
[...]
Makamba atoa sababu za kutokuwepo bungeni
Waziri wa Nishati January Makamba amelazimika kuomba radhi ndani ya Bunge kufuatia kusababisha bunge kusimama kwa dakika 30 asubuhi baada ya yeye na N [...]
Kim: Nipo tayari kula kinyesi nibaki kuwa kijana
Mwanamitindo maarufu duniani Kim Kardashian ameshangaza wengi baada ya kusema kwamba yupo tayari kula kinyesi kama kinaweza kumsaidia kuonekana kijana [...]