Author: Cynthia Chacha
Alichozungumza Prof. Lipumba na Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba mara baa [...]
LHRC: Spika yupo sawa kuhusu akina Mdee
Afisa Uchehemuzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Maduhu William amefanya uchambuzi kuhusu maamuzi yaliyotolewa leo na Spika wa Jamhuri [...]
Air Tanzania kuanza safari za Pemba
Kwa muda sasa, ndege za ATCL zimekuwa zikisafirisha abiria na mizigo kwenda Unguja, Zanzibar na siyo Pemba, jambo linaweza kuwa linaikosesha fursa ya [...]
Waliogushi barua warudhiswa kazini
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Innocent Bashungwa amemuagiza Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia TAMISEMI Ndg. [...]
Tanzania yaguswa na kifo cha Rais wa UAE
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi LIberata Mulamula (Mb) amesaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Umoja wa Fal [...]
Spika Tulia awakingia kifua Mdee na wenzake
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson amesema wanachama 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambao walivuliwa u [...]
Nyongeza ya 23.3% sio kwa wote
Juzi serikali ilitangaza nyongeza ya asilimia 23.3 kwenye kima cha chini cha mishahara kwa watumishi wa umma, baadhi ya wachumi na wasomi wamechambua [...]
Magazeti ya leo Mei 16,2022.
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Mei 16,2022.
[...]
Kinara mishahara EAC
Marais wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wameboresha maslahi ya watumishi kwa kuongeza kima cha chini cha mishahara kwa viango tofauti.
[...]
Mishahara yaongezwa kwa asilimia 23
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameridhia mapendekezo ya nyongeza ya mshahara ikiwemo kima cha chini kwa watumishi w [...]