Author: Cynthia Chacha
Magazeti ya leo Mei 5,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Mei 5,2022.
[...]
Miriam Odemba akubali mimba za Ibraah
Mwanamitindo na Mshindi wa taji la Miss East Africa 1998, Miriam Odemba ameendelea kupigania penzi lake kwa kinda kutoka lebo ya Konde Gang, Ibraah kw [...]
Usilolijua kuhusu kondomu
Njia za uzazi wa mpango husaidia kuzuia mimba. Hii ina maana kutumia kondomu kimsingi ni njia ya kudhibiti uzazi. Hata hivyo, ingawa udhibiti wa uzazi [...]
Wiz Khalifa aponzwa na bangi
Kwa wafuatiliaji na wadau mbalimbali wa tasnia ya mitindo duniani, tukio la Met Gala, sio kitu kigeni masikioni kwao. Ukubwa wa tukio hili unafananish [...]
Pigo jipya bei za mafuta
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zitaanza kutumika kuanzia kesho Jumatano May 04, 2022.
[...]
Magazeti ya leo Mei 4,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Mei 4,2022.
[...]
Tanzia: Kipanya afiwa na baba yake
Mtangazaji wa kipindi cha Power Breakfast Masoud Kipanya ,amefiwa na baba yake mzazi Mzee Masoud Nyomwa. Msiba uko Mwananyamala na mazishi yanatarajiw [...]
Urusi na UKraine zamuibua Mo Dewji
Ofisa Mtendaji wa Kampuni ya Mohamed Enterprises (MeTL) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na mwekezaji wa klabu ya Simba , Mohamed Dewji ameshauri [...]
Nchi zilizopandisha mishahara
Marais wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wameboresha maslahi ya watumishi kwa kuongeza kima cha chini cha mishahara kwa viango tofauti.
[...]
Magazeti ya leo Mei 3,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Mei 3,2022.
[...]