Author: Cynthia Chacha
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube leo Aprili 18,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Jumatatu Aprili 18,2022. Husikubali kupitwa.
https://www.youtube.com/watc [...]
Aliyekuwa Meya wa Moshi ang’oa misaada yake
Juma Raibu aliyekuwa Meya Mstahiki wa Manispaa ya Moshi ambaye hivi karibuni aling’olewa wadhifa huo ameamua kwenda kung’oa misaada aliyowahi kuitoa k [...]
Filamu ya Royal Tour jijini New York leo
Filamu ya Royal Tour inayozinduliwa leo jijini New York, nchini Marekani ambayo mhusika mkuu ni Rais Samia Suluhu Hassan, inakwenda kuitangaza Tanzani [...]
Magazeti ya leo Aprili 18,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Aprili 18,2022.
[...]
Alichosema Harmonize msibani kwa Maunda Zorro
Ikiwa leo Aprili 16,2022 mwili wa msanii wa bongo fleva Maunda Zorro, umepumzishwa kwenye makazi yake ya milele ambapo watu wengi wakiwemo wasanii wal [...]
Bodaboda ajinyonga kwa mkanda
Idrisa Salum Milundiko (24), mkazi wa Kitongoji cha Kasokola Mashariki B wilayani Mpanda, Mkoa wa Katavi anayejihusisha na uendeshaji wa bodaboda, ame [...]
Wizara ya afya yatoa nafasi 1,621 za kazi
Wizara ya Afya kupitia kibali cha Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb. Na. FA.97/128/01/”B”/40 cha tarehe 01 Aprili, 20 [...]
Diamond: Mimi ndio chanzo tuzo kufa
Mmiliki wa lebo ya Wasafi na msanii, Diamond Platnumz amefungua na kueleza kuwa yeye ndiyo chanzo cha kusitishwa kwa Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) mia [...]
Magazeti ya leo Aprili 16,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Aprili 16,2022.
[...]