Author: Cynthia Chacha
TBS walitaka gari la Kipanya
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limemtaka Masoud Kipanya kufika katika Ofisi za TBS na gari la kutumia umeme alilolibuni hivi karibuni ili liweze ku [...]
Maunda Zorro kuzikwa kesho
Mwili wa Msanii Maunda Zorro unatarajiwa kuagwa na kuzikwa siku ya Jumamosi Aprili 16 eneo la Toangoma, Kigamboni.
Hayo yamesemwa jana Alhamisi Apri [...]
TAMISEMI yafafanua pikipiki za Milioni 11
TAMISEMI imetoa ufafanuzi kuhusu alichokiwasilisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -TAMISEMI, Innocent Bashungwa katika wasilisho la Makadirio ya Mapato [...]
NZEGA: Wanachama 53 wa Chadema wahamia CCM
Wanachama 53 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Nzega wametangaza kukihama chama hicho na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) waki [...]
Ahadi ya Samia kwa Wamachinga yatimia
Neema imeanza kufunguka kwa wafanyabiashara wadogo(MACHINGA) baada ya kusaini mkataba wa shilingi bilioni 200 zilizotengwa na benki ya NMB kwa ajili y [...]
Rihanna na ASAP: Maji tayari yamemwagika
Tetesi zinazoendelea kwenye mitandao ya kijamii hasa Twitter ni kwamba mwanamitindo na muimbaji Rihanna ameachana na mchumba wake Rapa ASAP Rocky baad [...]
Magazeti ya leo Aprili 15,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Aprili 15,2022.
[...]
Akiwa hivi, basi anaridhika
Si jambo rahisi kwa mwanaume kujua kwamba mwanamke wake anaridhika kimapenzi kwani wapo ambao wanaweza kudanganya ili mradi tendo limalize alale au ao [...]
Funzo mimba ya Rihanna
Kama wanawake kuna kitu cha kujifunza kutoka kwa mwanamitindo, mfanyabiashara, muimbaji na bilionea Rihanna kutokana na jinsi anavyoishi kipindi hiki [...]