Author: Cynthia Chacha
Wezi wakutwa wakiiba Daraja la Tanzanite
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu wawili wakidaiwa kujaribu, kukata baadhi ya vyuma vya ngazi ya nguzo kwenye daraja l [...]
Maofisa ugani kuvaa gwanda
Wakili wa Kilimo Hussein Bashe amesema maofisa ugani wote nchini wataanza kuvaa unifomu na serikali itakuwa ikitoa mavazi mawili kila mwaka.
Amesem [...]
TID: ndomaana staki
Msanii wa Bongo Fleva nchini, Khalid Mohamed maarufu kama TID ameonyesha kuchukizwa na kitendo cha waandaji wa Tuzo za Muziki Tanzania kumualika kweny [...]
Wizkid hali mbaya
Msanii kutoka nchini Nigeria, Wizkid amekosa tuzo katika vipengele viwili vya Best Global Music Performance na Best Global Music Album jambo lililoibu [...]
Kodi zaipaisha TRA
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mwezi uliopita imekusanya Sh trilioni 2.06 katika lengo la kukusanya Sh trilioni 1.98 taarifa iliyotolewa na [...]
Masoud Kipanya aja na gari la kuchaji
Mtangazaji na mchora katuni maarufu nchini Tanzania, Masoud Kipanya kupitia kampuni yake ya Kaypee Motors amezindua gari ndogo ya mizigo inayotumia um [...]
Wanaume: fahamu M3 hizi
Kwa mwanaume yoyote yule ambaye yupo kwenye mahusiano au ana mpango wakuanzisha mahusiano basi ni lazima akawa anazifahamu vyema M3 ambazo zitamsaidia [...]
Athari 3 za matango
Matango ni moja wapo ya matunda yanayopendwa sana na hutumika kama kinga ya mwili na kwenye urembo wasichana hupaka usoni ili kuwa na ngozi nyororo na [...]
Wakutwa na madawa ya kulevya gramu 70.77
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limefanikiwa kumkamata maeneo ya Osunyai, Abdi Hamis (27) mfanyabiashara, mkazi wa Ngarenaro na Ally Said (25) dereva na [...]
Harmonize: Rayvanny mwanangu
Msanii na mmiliki wa lebo ya Konde Gang, Rajabu Abdul maarufu kama Harmonize anazidi kuionyesha jamii na ulimwengu mzima kwamba bado anampenda aliyewa [...]