Author: Cynthia Chacha
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Februari 5,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao ya Youtube Tanzania. Husikubali kupitwa;
https://www.youtube.com/watch?v=PkXxm2tCtgs&list=PLq [...]
Tamko kuhusu IST kupita daraja la Tanzanite
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam , ACP Jumanne Muliro ametoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zinazosem [...]
Kim na Kanye wageuka paka na panya
Mwanamitindo Kim Kardashian na rapa Kanye West ambapo awali walikua kwenye mahusiano na kubarikiwa kupata watoto wanne, North, Psalm, Chicago na Saint [...]
Vaa hivi ufanane na Wizkid
Mwanamitindo wa Wizkid anastahili pongezi kwani tumeshuhudia mabadiliko ya mtindo wa uvaaji wake kutoka kwenye suruali za jeans chini ya makalio na ma [...]
Fahamu faida 4 za kununua nguo za mtumba
Nguo za mtumba ni zile ambazo tayari zimekwisha tumika na mtu au watu wengine sehemu nyingine na kuuzwa tena kwa ajili ya matumizi mengine. Watu wengi [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Februari 4,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania. Husikubali kupitwa;
https://www.youtube.com/watch?v=PkXxm2tCtgs&list=PLq [...]
Furahia wikiendi na filamu ya ‘The girl allergic to Wi-Fi’
Huwenda ukawa umewahi kusikia magonjwa mengi lakini je, umeshawahi kusikia ugonjwa wa mtu kutoruhusiwa kuwa karibu na sehemu yenye mtandao au kutumia [...]
Kauli ya Rais Samia kuhusu mauaji ya Mtwara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri Mkuu Kasim Majaliwa kuunda kamati itakayochunguza mauaji yaliyofan [...]
Rais Samia atumbua wanne
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu, ametengua wakurugenzi wanne ikiwemo Buchosa, Singida mjini, Mbeya na Iringa kutokana na ub [...]
Serikali yaweka neno matukio ya mauaji
Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalum chini ya waziri Dk. Doroth Gwajima, imezitaka kamati za kupinga ukat [...]