Author: Cynthia Chacha
Mwalimu wa kike ambaka mwanafunzi wa kiume mwenye miaka 15
Loise Martha Musyoka, mwalimu kutoka nchini Kenya Kaunti ya Nairobi wa shule ya Kayole ameshutumiwa kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa kiume mwenye mia [...]
Wasichana waliopata ujauzito kuruhusiwa kurudi shuleni
Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako amesema kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru, Serikali imeamua kuondoa vikwazo vilivyopo katika elimu husu [...]
Rais Samia atoa maagizo jinsi yakupunguza ajali za barabarani
Rais Samia Suluhu Hassan amezindua wiki ya nenda kwa usalama barabarani huku akiagiza elimu ya matumizi sahihi ya barabara ielekezwe zaidi kwa maderev [...]
Magazeti leo Jumatano 24, 2021
Habari Za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Jumatano Novemba 24, 2021. [...]
Tazama hapa video zilizo-trend Youtube leo Novemba 23, 2021
Hizi hapa video zinazopeta katika mtandao wa Youtube Tanzania. husikubali kupitwa;
https://www.youtube.com/watch?v=3GHmlVDSRPA&list=PLqYgCZl9ey [...]
Rais Samia akiri kwamba Harmo ni Tembo
Rais Samia Suluhu Hassan amemwagia sifa msanii Harmonize maarufu kama Konde boy au Tembo wakati akishiriki Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Ba [...]
Shilole: endelea ‘kujaji’ mwili wangu
Msanii wa kike wa bongo fleva Zuwena Yusuf maarufu kwa jina la kisanii Shilole au Shishi Baby anayetamba na wimbo wake wa Amsha Popo, amewataka wanaoe [...]
Vigogo Dar wawekwa kitimoto
Mkurugenzi wa jiji la Dar es Salaam, Jumanne Shauri amethibitisha kuwamba wapo watendaji waliosimamishwa kazi ili kupisha kwa uchunguzi wa ufisadi wa [...]
Hamisa Mobetto awajia juu walimwengu
Mwanamitindo na msanii kutoka nchini Tanzania, Hamisa Mobetto ameandikia ujumbe mzito kwa watu wanaomsema vibaya kwenye mitandao ya kijamii na kumzush [...]
Magazeti leo Jumanne 23, 2021
Habari Za asubuhi, Nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Jumanne Novemba 23, 2021. [...]