Author: Cynthia Chacha

1 243 244 245 246 247 270 2450 / 2692 POSTS
TMA yatangaza ujio wa mvua kubwa

TMA yatangaza ujio wa mvua kubwa

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya ujio wa mvua kubwa za wastani mpaka juu ya wastani katika kipindi cha masika (Machi-Mei) kw [...]
Zanzibar kupima Uviko-19  kidigitali

Zanzibar kupima Uviko-19  kidigitali

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeanza kutumia teknolojia ya skana za EDE kupima Uviko-19 kwa wasafiri wanaowasili na kusafiri kupitia uwanja wa nd [...]
Jamii ya wamasai yashukuru kujengewa madarasa

Jamii ya wamasai yashukuru kujengewa madarasa

Wakazi wa kitongoji cha Umasaini kilichopo nje kabisa ya mji wa Pangani, wameishukuru Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia madaras [...]
Kampuni  ya Elon Musk inakabiliwa na madai ya unyanyasaji wa wanyama

Kampuni  ya Elon Musk inakabiliwa na madai ya unyanyasaji wa wanyama

Kampuni ya San Francisco Neuralink, inayoendeshwa  na Elon Musk, imekuwa ikifanya kazi kwenye chip ambayo inaweza kupandwa kwenye ubongo wa mwanadamu [...]
Tanzania kuanza kutengeneza chanjo zake za Covid-19

Tanzania kuanza kutengeneza chanjo zake za Covid-19

Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali yake inataka kuanzisha kiwanda cha kutengeneza chanjo ndani ya nchi kama sehemu ya mipango mipana ya kukabil [...]
Meme ya P2 yamuibua Ummy Mwalimu 

Meme ya P2 yamuibua Ummy Mwalimu 

Meme ni maneno au picha zenye ujumbe wakuchekesha ambazo watu hutumiana kwa lengo la kufurahishana, meme hiz zimekuwa zikibeba jumbe mbalimbali na moj [...]
Waziri Mkuu atoa msimamo kuhusu Ngorongoro

Waziri Mkuu atoa msimamo kuhusu Ngorongoro

Waziri MKuu, Kassim Majaliwa amesema serikali inaangalia utaratibu utakaofaa kuhusu suala la uhifadhi katika eneo la Loliondo lililopo kwenye Wilaya y [...]
Zari na Diamond ndani ya Filamu moja

Zari na Diamond ndani ya Filamu moja

Msanii kutoka nchini Tanzania na mmiliki wa lebo ya Wasafi, Diamond Platnumz amejikuta akiwa kwenye filamu moja pamoja na aliyewahi kuwa mpenzi wake, [...]
Fahamu sababu za wabunge 19 wa CHADEMA kubaki bungeni

Fahamu sababu za wabunge 19 wa CHADEMA kubaki bungeni

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Tulia Ackson, ameweka wazi kwamba wanachama 19 waliopo bungeni kutoka Chama Cha Demokrasia na [...]
Afukuliwa siku moja baada ya kuzikwa

Afukuliwa siku moja baada ya kuzikwa

Mwili wa marehemu, Mark Mkude mwenye umri wa miaka 67 umefufuliwa baada ya kuzikwa na na ndugu wa marehemu mwingine, Gervas Chondoma mwenye umri wa mi [...]
1 243 244 245 246 247 270 2450 / 2692 POSTS
error: Content is protected !!