Author: Cynthia Chacha
Magazeti ya leo Machi 22,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Machi 22,2023.
[...]
Rais Samia ahimiza vijana kujiunga na kilimo
Huenda sekta ya kilimo Tanzania ikachukua sura mpya kwa kuongeza wigo wa ajira pamoja na mchango katika pato la Taifa mara baada ya Serikali kufanya u [...]
Wafukua kaburi na kuiba sehemu za siri za marehemu
Watu wasiojulikana wamefukua kaburi alipokuwa amezikwa marehemu Ruben Kasala (74) na kuondoa sehemu za siri.
Mtoto wa marehemu, Frank Kasala amesem [...]
Tanzania yapeleka helikopta mbili za msaada Malawi
Serikali ya Tanzania imetuma helikopta mbili nchini Malawi zenye msaada wa vifaa, chakula pamoja na fedha Dola milioni moja (Sh. bil. 2.3) taslimu kwa [...]
Magazeti ya leo Machi 21,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Machi 21,2023.
[...]
Magazeti ya leo Machi 20,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Machi 20,2023.
[...]

Serikali kuendelea na maboresho ya sekta ya afya
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaendelea kununa vifaa vya matibabu ili huduma nyingi za kitabibu au matabibu bingwa zitolewe [...]
Afariki kwa kuangukiwa na jiwe akifanya adhabu baada ya kushindwa kuongea kiingereza
Jeshi la polisi mkoani Mwanza linawashikilia walimu wawili wa Shule ya Sekondari Mwinuko kwa kosa la kusababisha kifo cha mwanafunzi mmoja wa kidato c [...]
Magazeti ya leo Machi 18,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Machi 18,2023.
[...]

Tanzania kuwa ghala la chakula barani Afrika
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kutumia vyema fursa ya kuwa mwenyeji wa mkutano wa Jukwaa la Mfumo wa Chakula Afrika (AGRF) [...]