Author: Cynthia Chacha

1 58 59 60 61 62 274 600 / 2733 POSTS
Matukio katika picha Rais Samia Suluhu akiwa Zambia

Matukio katika picha Rais Samia Suluhu akiwa Zambia

Rais Samia Suluhu ameweka shada Mnara wa Uhuru wa Zambia na kaburi la Rais wa Kwanza wa Zambia, Dkt. Kenneth Kaunda. Leo Zambia inaadhimisha [...]
Ziara ya Rais Samia nchini Zambia kudumisha uhusiano

Ziara ya Rais Samia nchini Zambia kudumisha uhusiano

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewasili Zambia kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu. Ziara hii inatarajiwa kuimarisha uhusiano uliopo kati [...]
Jumuiya ya wakala wa forodha yampongeza Rais Samia kuruhusu uwekezaji wa DP World

Jumuiya ya wakala wa forodha yampongeza Rais Samia kuruhusu uwekezaji wa DP World

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wakala wa Forodha Zanzibar na Mjumbe wa JWT, Omary Hussein, amesema mkataba ambao Rais Samia ameusaini ni wa kufungua milango [...]
Rasmi DP World kuendesha sehemu ya bandari ya Dar kwa miaka 30

Rasmi DP World kuendesha sehemu ya bandari ya Dar kwa miaka 30

Tanzania imesaini mikataba mitatu na kampuni ya DP World ya Dubai ya kukodi na kuendesha sehemu ya bandari ya Dar es Salaam kwa miaka 30, miezi minne [...]
Rais Samia mgeni rasmi miaka 59 ya uhuru Zambia

Rais Samia mgeni rasmi miaka 59 ya uhuru Zambia

Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Uhuru wa Jamhuri ya Zambia zinazotarajiwa kufanyika [...]
Rais Samia : vyuo vya ufundi kujengwa kila wilaya

Rais Samia : vyuo vya ufundi kujengwa kila wilaya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imejidhatiti katika kuhakikisha kwamba wilaya nchini kuna chuo [...]
Rais Samia: Viongozi simameni imara

Rais Samia: Viongozi simameni imara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasihi viongozi wa mkoa wa Singida kuhakikisha wanasimama imara katika uteke [...]
Mfumo wa uteuzi wa mabalozi kutazamwa upya

Mfumo wa uteuzi wa mabalozi kutazamwa upya

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itautizama upya na kubadili mfumo wa sasa wa uteuzi wa mabalozi, ili kurejesha hadhi, umahiri na [...]
Idadi ya watalii Tanzania yazidi kupaa

Idadi ya watalii Tanzania yazidi kupaa

Idadi ya watalii walioingia Tanzania imeongezeka kwa asilimia 25.7 ndani ya kipindi cha mwaka mmoja huku nchi za Amerika na Ufaransa zikiingiza idadi [...]
Rais Samia anavyo-trend India

Rais Samia anavyo-trend India

Kwenye mtandao maarufu wa Google nchini India, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekuwa mtu wa pili kwa habari zake kutafutwa sana kuliko mambo [...]
1 58 59 60 61 62 274 600 / 2733 POSTS
error: Content is protected !!