Author: Cynthia Chacha
Waliotimiza miaka 18 kupatiwa chanjo ya Uviko-19
Serikali imesema itaanza kuwafikia vijana ambao hawakuwa wamefikisha umri wa kupata chanjo ya Uviko-19 tangu zoezi hilo lianze miaka mitatu iliyopita [...]
Watu 48 waokolewa mafuriko Morogoro
Watu 48 wameokolewa katika mafuriko na kuhifadhiwa ofisi ya Kata ya Kihonda, Manispaa ya Morogoro kupatiwa msaada wa dharura na serikali, kufuatia mvu [...]
Magazeti ya leo Januari 14,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Januari 14,2023.
[...]
Qayllah wa Shetta ateuliwa kuwa Mjumbe CCM
Mtoto wa mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva Shetta afahamikaye kwa jina la Qayllah Nurdin ameteuliwa na Baraza la Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Dar e [...]
CCM Geita yakosoa usambazaji mbolea ya ruzuku
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita kimeeleza kutoridhishwa na mwenendo wa usambazaji wa mbolea ya ruzuku kwa wakulima kutokana na mchakato huo ku [...]
Magazeti ya leo Januari 13,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Januari 13,2023.
[...]
Mabasi 4 ya mwendokasi yatengwa kwa ajili ya wanafunzi
Wakala wa mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam (DART) imetenga mabasi manne makubwa asubuhi na jioni kwa ajili ya kubeba wanafunzi wa shule za msingi [...]
Mwanafunzi wa chuo ajiua kwa kujinyonga
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) , Gunze Luhangija amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kile kinachodaiwa kuwa ni msongo wa mawaz [...]
Magazeti ya leo Januari 12,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Januari 12,2023.
[...]
Mfumuko wa bei washuka nchini
Kasi ya mfumuko wa bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioishia Disemba imeshuka kidogo baada ya kung’ang’ania katika kiwango kimoja kwa miezi miwili m [...]