Author: Cynthia Chacha
Mgawo wa maji Dar, Pwani umekwisha
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makala ametangaza kusitishwa rasmi kwa mgao wa maji katika Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani.
Makala ameyasema hayo [...]
Hatimaye mkataba wa TPA na TICTS wafika tamati
Hatimaye kilio cha wadau wa bandari kimesikika baada ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kusitisha mkataba wake na Kampuni Binafsi ya Kimataifa ya Ku [...]
Magazeti ya leo Novemba 26,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Novemba 26,2022.
[...]
Jenerali Mabeyo asimikwa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Iringa
Mkuu wa Majeshi mstaafu, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo amesimikwa rasmi kuwa Mkuu Mpya wa Chuo Kikuu cha Iringa akichukua nafasi ya Askofu Mstaafu [...]
Oman kuitangaza Tanzania
Tanzania na Oman zimeweka mikakati ya ushirikiano katika sekta ya maasiliano, habari na teknolojia.
Mikakati hiyo iliwekwa juzi wakati Waziri wa Ha [...]
Fidia kulipwa kwa wakazi wa Bonde la Msimbazi
Zaidi ya wananchi 11,000 wanatarajiwa kulipwa fidia Januari mwakani kupisha ujenzi wa daraja la juu la kisasa la Jangwani na uendelezaji wa Bonde la M [...]
Magazeti ya leo Novemba 25,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Novemba 25,2022.
[...]
Rais Samia ampa miezi mitatu Waziri Aweso
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa miezi mitatu kwa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akamilishe mradi wa maji unojengwa kwa Sh bilioni 1.7 wilayani Monduli.
[...]
Diamond amaliza yote kwa Zuchu
Kupitia kwenye ukurasa wa instagrama wa msanii Diamond Platnumz ambaye ni CEO wa lebo ya muziki ya Wasafi WCB, ameandika ujumbe kumtakia heria ya siku [...]
Bei elekezi vifurushi vya simu
Serikali imeagiza watoa huduma za mawasiliano ya simu za mkononi wasibadili bei ya vifurushi vya simu hadi serikali itapotoa bei elekezi Januari mwaka [...]