Author: Elibariki Kyaro
Mgawanyo wa fedha za IMF kaa la moto kwa wakuu wa mikoa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala Mikoa na Serikali ya Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu ameanisha mgawo wa fedha Sh bilioni 535.6 kati ya Sh trilioni [...]
Somalia yashinda mgogoro wa mpaka na Kenya
Mahakama ya Kimataifa ya Umoja wa Mataifa (ICJ) imetoa hukumu juu ya mgogoro wa bahari kati ya Somalia na Kenya, eneo ambalo linasemekana kuwa na utaj [...]
Chad yapata msamaha wa FIFA
Baada ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuifungia timu ya taifa ya Chad kutokana na serikali ya nchi hiyo kuingilia ufanyaji kazi wa FIFA kwenye nc [...]
Polisi wakamata bangi ndani ya gereza
Bangi zenye thamani ya shilingi milioni 1.8 zimekutwa ndani ya gereza kwenye mji wa Empangeni nchini Afrika Kusini baada ya polisi kufanya msako mkali [...]
Kampeni za uchaguzi zamponza msanii, ajitoa tuzo za AFRIMMA
Mwanamuziki Slapdee ametumia ukurasa wake wa Facebook kuomba radhi kwa waandaji wa tuzo za AFRIMMA na kuomba kutolewa kwenye tuzo hizo.
Slapdee ame [...]
Mauzo albam ya R Kelly yaongezeka
Mauzo ya albamu ya R. Kelly yameongezeka kwa asilimia 517%, na uhitaji wa albamu hiyo kwa mwaka 2021 ni milioni 6.4, licha ya Septemba 27 mwanamuziki [...]
Leo katika historia: Eliud Kipchoge anaweka rekodi ya kukimbia marathon chini ya saa mbili
Tarehe kama ya leo mwaka 2009, mwanariadha kutoka Kenya, Eliud Kipchoge anakuwa mtu wa kwanza kukimbia mbio (marathon) kilomita 42.2, chini ya saa mb [...]
Taarifa ya ACT Wazalendo kuhusu kauli ya Bernard Membe
Siku chache baada ya aliyekuwa mgombea Urais wa Tanzania mwaka 2020 kupitia chama cha ACT Wazalendo, Bernard Membe kusema kuwa anaunga mkono utendaji [...]
Jafo apiga marufuku plastiki laini kwenye vifuniko vya chupa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais ( Muungano na Mazingira), Selemani Jafo amepiga marufuku uingizaji, uzalishaji, usambazaji na matumizi ya vif [...]
CHADEMA yatoa masharti kushiriki kikao na Msajili wa Vyama vya Siasa
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, Benson Kigaila amesema kwamba kabla ya kushiriki kikao chochote wanataka zuio ambalo linafanyw [...]