Author: Mjumbe

1 14 15 16 17 18 46 160 / 452 POSTS
Fahamu sababu 8 zinazosababisha watu wasikupende

Fahamu sababu 8 zinazosababisha watu wasikupende

Kuishi katika jamii inayokupenda hukufanya kuwa mwenye furaha na ufanisi katika yale unayoyafanya. Wapo baadhi ya watu wanatambua kuwa hawapendwi, lak [...]
Njia rahisi ya kupika chapati laini za kusukuma

Njia rahisi ya kupika chapati laini za kusukuma

Chapati ni aina ya mkate ambao hauumuliwi kwa hamira. Chapati hutayarishwa kwa unga wa ngano na inahitaji umakini wakati wa kupika ili zisiwe ngumu na [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 17, 2021 (Ansu Fati bado yupo sana Barcelona, Newcaste na Leeds zamkosa Joe Rothwell)

Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 17, 2021 (Ansu Fati bado yupo sana Barcelona, Newcaste na Leeds zamkosa Joe Rothwell)

Mshanbuliaji wa Barcelona Ansu Fati 18, amekubali kusaini mkataba mpya wa muda mrefu kusalia Barcelona kukiwa na kipengele cha ada ya £846m, akitaka k [...]
Nafasi mpya za kazi TANAPA

Nafasi mpya za kazi TANAPA

POST: CONSERVATION RANGER III – WILDLIFE MANAGEMENT- LAW ENFORCEMENT – 48 POST POST CATEGORY(S): SECURITY TOURISM AND TRAVEL EMPLOYER: TANZANIA [...]
Mbivu na mbichi kesi ya kina Mbowe kujulikana leo

Mbivu na mbichi kesi ya kina Mbowe kujulikana leo

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Oktoba 20, 2021 inatarajiwa kutoa uamuzi katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi in [...]
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 20, 2021

Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 20, 2021

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Jumatano, Oktoba 20, 2021. [...]
Faida  5 za kutoa Ushuzi

Faida 5 za kutoa Ushuzi

Watu wengi wamekua waoga sana kutoa ushuzi wakidhani kwamba wanakosea hivyo wanaamua kubana hewa hiyo chafu ndani yao bila kujua kwamba kiafya ni vyem [...]
Kijana Mtanzania alivyouawa kwa risasi Marekani

Kijana Mtanzania alivyouawa kwa risasi Marekani

Kijana wa Kitanzania, Humphrey Magwira mwenye umri wa miaka 20, ameuawa kikatili kwa kupigwa risasi na kufariki papo hapo. Humphrey alikuwa akiende [...]
Maisha ya Wasomali matatani Baada ya kifo cha waziri wa Uingereza

Maisha ya Wasomali matatani Baada ya kifo cha waziri wa Uingereza

  Mwakilishi wa Baraza la Mashirika ya Wasomali (CSO) Charlotte Gallagher amesema kwamba Wasomali na watu wenye asili ya Kisomali wamekua wakipokea [...]
Watumishi 15 wa Mungu watekwa

Watumishi 15 wa Mungu watekwa

Watumishi wa Mungu wapatao 15 na familia zao wamevamiwa na kutekwa  na kundi la wahalifu nchini Haiti eneo la Port-au- Prince walipoenda kutembelea ki [...]
1 14 15 16 17 18 46 160 / 452 POSTS
error: Content is protected !!