Author: Mjumbe

1 24 25 26 27 28 46 260 / 452 POSTS
Video 10 za Tanzania zinazo-trend YouTube leo Oktoba 10, 2021

Video 10 za Tanzania zinazo-trend YouTube leo Oktoba 10, 2021

Hizi hapa nyimbo zinazotikisa katika mtandao wa Youtube na chati mbalimbali hapa Tanzania. Usikubali kupitwa na ngoma hizi mpya tazama kupitia hapa ;  [...]
Rais Samia atunukiwa Tuzo Bodi ya Utalii Afrika

Rais Samia atunukiwa Tuzo Bodi ya Utalii Afrika

Bodi ya Utalii Afrika (ATB), imemtunuku Rais Samia Suluhu Hassan tuzo ya Utalii kwa kutambua juhudi zake za kukuza sekta hiyo nchini. Tuzo hiyo ilitol [...]
Fahamu faida 6 za juisi ya nyanya kwa wanaume

Fahamu faida 6 za juisi ya nyanya kwa wanaume

Nyanya ni tunda/kiungo linaloliwa na kutumiwa kwa njia mbalimbali. Wengine hutumia kutengenezea kachumbari, wengine huungia mboga, wengine hupikia ros [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 10 (Pogba kutimkia Juventus, huku Newcastle ipo mbioni kumalizana na Steve Bruce)

Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 10 (Pogba kutimkia Juventus, huku Newcastle ipo mbioni kumalizana na Steve Bruce)

Klabu ya Juventus ina nafasi kubwa ya kumsajili Paul Pogba, ambaye mkataba wake na Manchester United upo mbioni kuisha, kama watafanikiwa kuwauza wach [...]
Magazeti ya leo Jumapili, Oktoba 10, 2021

Magazeti ya leo Jumapili, Oktoba 10, 2021

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Jumapili, Oktoba 10, 2021. [...]
Youtube yafuta nyimbo 4 za Otile Brown

Youtube yafuta nyimbo 4 za Otile Brown

Jacob Odunga, maarufu kama Otilie Brown msanii kutoka Kenya amelalamika baada ya kufutwa kwa nyimbo zake 4 zenye watazamaji zaidi ya milioni 10 kwenye [...]
Watumiaji wa Instagram na Facebook waendelea kupata changamoto

Watumiaji wa Instagram na Facebook waendelea kupata changamoto

Kampuni ya Facebook imesema kuwa imepokea malalamiko toka kwa watumiaji zaidi ya 30,000 wakidai kuendelea kukosa huduma ya mtandao wa Facebook pamoja [...]
Zingatia haya kabla ya kununua akaunti ya Twitter

Zingatia haya kabla ya kununua akaunti ya Twitter

Biashara ya kuuza na kununua akaunti za mitandao inazidi kukua siku baada ya siku. Moja kati ya ‘akaunti’ zilizo katika uhitaji (demand) mkubwa kwa sa [...]
Zijue sababu 3 kwanini utumie maji ya Malimao kwenye sura yako

Zijue sababu 3 kwanini utumie maji ya Malimao kwenye sura yako

Limao ni tunda jamii ya Chungwa ambalo hutumika sana kama kiungo kwenye chakula. Licha ya matumizi ya limao katika maisha yetu ya kila siku, lakini ba [...]
Polepole apoteza uenyekiti kamati ya Bunge

Polepole apoteza uenyekiti kamati ya Bunge

Spika wa Bunge Mhe. Job Y. Ndugai (Mb), amefanya mabadiliko madogo ya Wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge kwa kuzingatia matakwa ya Kanuni ya 135 (3) [...]
1 24 25 26 27 28 46 260 / 452 POSTS
error: Content is protected !!