Author: Thani Chikira

1 8 9 10 11 12 27 100 / 270 POSTS
Wizkid amnyoosha tena Diamond Platnumz

Wizkid amnyoosha tena Diamond Platnumz

Nyota wa muziki kutokea nchini Nigeria, Wizkid '#BigWiz' ameshinda tuzo tatu(3) za AFRIMA 2021 zilizotolewa usiku wa kuamkia leo Nov. 22 2021 katika v [...]
Fahamu kurasa zenye wafuasi wengi zaidi Twitter Tanzania

Fahamu kurasa zenye wafuasi wengi zaidi Twitter Tanzania

Januari 2021 kulikuwa na Watanzania 5.40 milioni wanaotumia mitandao ya kijamii. Watumiaji wa mitandao Tanzania wameongezeka+20% 2020 - 2021, sawa na [...]
Picha 5 za mastaa wakike Tanzania zilizobamba zaidi wiki hii

Picha 5 za mastaa wakike Tanzania zilizobamba zaidi wiki hii

1.Jokate Mwegelo 2.Hamisa Mobeto 3. Gigy Money 4. Zuchu 5. Elizabeth Michael (Lulu) [...]
Diamond afanya kufuru harusi ya Aristotee

Diamond afanya kufuru harusi ya Aristotee

Msanii Diamond Platnumz na mmiliki wa lebo ya Wasafi ameonyesha jeuri ya pesa kwenye harusi ya mfanyabiashara Aristotee usiku wa jana kwa kumpatia zaw [...]
Tumia asali na maziwa kuondoa sugu

Tumia asali na maziwa kuondoa sugu

Sugu ni weusi ambao unatengeneza ugumu mara nyingi unatokea katika vifundo au maungio mfano kwenye magoti, nyuma ya vidole vya mikono na nyuma ya kiwi [...]
Davido agawa fedha zote alizochangisha

Davido agawa fedha zote alizochangisha

Msanii Davido kutoka nchini Nigeria ameamua kuzitoa pesa zote alizokuwa anaomba kutoka kwa marafiki na mashabiki zake kwa ajili ya kusherehekea siku y [...]
Harmonize atimiza moja ya ndoto zake kubwa

Harmonize atimiza moja ya ndoto zake kubwa

Msanii kutoka lebo ya Konde gang Harmonize ameweka wazi kuingia studio na mkongwe wa muziki nchi Tanzania , 20% kutokana na ahadi aliyoweka Oktoba 25, [...]
Gigy awatolea uvivu Clouds

Gigy awatolea uvivu Clouds

Msanii wa kike wa bongo fleva kutoka nchini Tanzania Gift Stanford maarufu kama Gigy Money amewashukia kituo cha televisheni cha Clouds kwenye ukurasa [...]
Kumbe Zuchu anachukua 25%.

Kumbe Zuchu anachukua 25%.

Mwigizaji na Mtangazai wa Clouds Fm, Mwijaku amesema kwamba msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz ni tapeli. “Nimesikia kuna wasanii wanatoka mikoan [...]
Batu tale akemea ‘machawa’

Batu tale akemea ‘machawa’

Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki Hamisi Shaban Taletale maarufu Babu Tale ambaye pia ni meneja wa msanii Diamond Platnumz kutoka lebo ya Wasafi ame [...]
1 8 9 10 11 12 27 100 / 270 POSTS
error: Content is protected !!