Category: Burudani
Offset amzawadia Cardi B jumba la kifahari
Nyota wa muziki wa “Rap” kutoka nchini Marekani Cardi B, amezawadiwa jumba la kifahari na mume wake Offset ikiwa ni zawadi kwenye siku yake ya kuzaliw [...]
Video 5 za Tanzania zinazo-trend YouTube leo Oktoba 12, 2021
Hizi hapa nyimbo zinazotikisa katika mtandao wa Youtube na chati mbalimbali hapa Tanzania. Usikubali kupitwa na ngoma hizi mpya tazama kupitia hapa ; [...]
Kampeni za uchaguzi zamponza msanii, ajitoa tuzo za AFRIMMA
Mwanamuziki Slapdee ametumia ukurasa wake wa Facebook kuomba radhi kwa waandaji wa tuzo za AFRIMMA na kuomba kutolewa kwenye tuzo hizo.
Slapdee ame [...]
Mtanzania Abby Chams kwenye show kubwa ya ‘Kelly Clarkson
Kwenye maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike duniani binti wa Kitanzania Abby Chams ambaye ni mwanamuziki amepata nafasi ya kuwakilisha Wasichana wa Ta [...]
Mauzo albam ya R Kelly yaongezeka
Mauzo ya albamu ya R. Kelly yameongezeka kwa asilimia 517%, na uhitaji wa albamu hiyo kwa mwaka 2021 ni milioni 6.4, licha ya Septemba 27 mwanamuziki [...]
TikTok kuanza kutumika kwenye “Smart TV”
Mtandao wa TikTok ambao umekuwa jukwaa la elimu na burudani unaingia katika vitabu vya historia kati ya mitandao ya kijamii yenye ‘app’ ya moja kwa mo [...]
Wilder apasuka mdomo, avunjika Mkono na Kidole
Imeelezwa kuwa, Deontay Wilder, Bondia Mmarekani aliyechezea kichapo katika ardhi ya nyumbani nchini Marekani toka kwa Bondia toka Uingereza Tyson Fur [...]
Video 5 za Tanzania zinazo-trend YouTube leo Oktoba 11, 2021
Hizi hapa nyimbo zinazotikisa katika mtandao wa Youtube na chati mbalimbali hapa Tanzania. Usikubali kupitwa na ngoma hizi mpya tazama kupitia hapa ; [...]
Star wa Series ya “Empire”, Taraji sasa kuhamia kwenye muziki
Mwigizaji nyota toka nchini Marekani, Taraji Henson, ambaye amejizolea umaarufu mkubwa ulimwenguni kupitia ‘Series’ ya Power, ametangaza rasmi kuanza [...]
Menina awashtaki DSTV, Juma Lokole na Maimartha, ataka kulipwa bilioni 1.1
Mwanadada, Menina Abdulkarim Atiki ambaye ni mwimbaji, mwigizaji na mshereheshaji ameishtaki kampuni ya Multichoice toka Afrika Kusini (wamiliki wa DS [...]