Category: Elimu
Faida 5 za kujamiiana asubuhi
Huwenda umeshawahi kusikia kuhusu umuhimu wa kushiriki tendo la ndoa asubuhi na ukashangaa lakini ni kweli kuna faida za kufanya tendo hilo kwa afya y [...]
Kamwe usimwambie mwanaume wako haya
Kuna vitu vingi vinavyoweza kuua mahusiano yako na pengine unajiuliza mara kwa mara ni wapi nimekosea bila kujua namna unavyoongea na mpenzi wako inac [...]
Mambo 5 ya kufanya wikiendi
Baada ya kufanya kazi kwa muda wa siku tano mfululizo, watu wengine hupenda kupumzika siku ya jumamosi na jumapili ili kuondoa uchovu wa wiki nzima.
[...]
PISHI: Jinsi ya kupika vipopoo vya Iftar
Katika mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani ambapo Waislam hufunga kwa sala, sadaka na kujinyima pia, ni kipindi ambacho huendana na aina fulani ya chakula [...]
Hii hapa Ramani mpya ya EAC
Rais Uhuru Kenyatta, Paul Kagame na Yoweri Museveni wa Kenya, Rwanda na Uganda mtawalia, leo Aprili 6, wamezindua ramani mpya ya Jumuiya Afrika Mashar [...]
Madhara ya bangi ukeni
Watu wengi huvuta bangi kabla ya kuanza kushiriki tendo la ndoa wakidhani kwamba kufanya hivyo kuna waongezea hamu zaidi ya kufurahia tendo hilo lakin [...]
Mambo 5 yanayoweza kukukosesha furaha
Furaha ni kitu muhimu sana katika maisha ya mwanadamu lakini watu wengi tumekua tukijisahahu na kufanya mambo yanayotuondolea furaha maishani.
Unaw [...]
Tovuti 10 zinazopendwa zaidi
Alexa Internet wametoa orodha ya tovuti zinazotumiwa zaidi Tanzania hadi kufikia Februari 2022 miongoni mwa data mbalimbali ikiwemo za watumiaji inter [...]
Viashiria kuwa mwanamke wako anapanga kuchepuka
Tofauti na wanaume, asilimia kubwa ya wanawake hutumia muda mrefu sana kutafakari kabla ya kufikia maamuzi ya kuwasaliti wapenzi wao, na zipo ishara a [...]
Magonjwa 7 yaliyoua zaidi duniani
Asian Flu (1956-1958)
Vifo milioni 2
Haya ni mafua yaliyoanzia Guizhou, China na yalidumu kwa miaka miwili. Haya mafua yalienea hadi Singapore, Ma [...]