Category: Kimataifa
Rais Samia afanya uteuzi EWURA
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Mark James Mwandosya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maj [...]
Rais Samia aridhia siku ya sensa kuwa ni mapumziko
Taarifa kutoka kwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa imeeleza kwamba Rais Samia Suluhu ameridhia siku ya sensa Agosti 23,2022 kuwa siku ya mapum [...]
Ummy: Serikali itakarabati Uwanja wa Mkwakwani
Mbunge wa Tanga Ummy Mwalimu amesema atashirikiana na Chama cha Mapinduzi (CCM) kukarabati uwanja wa Mkwakwani uliofungiwa na Shirikisho la Mpira wa M [...]
Taulo za kike sasa bure
Bidhaa za hedhi, zikiwemo tamponi na taulo za kike, zitapatikana bila malipo katika vituo vya umma nchini Scotland kuanzia Jumatatu.
Mswada wa Bidh [...]
Ofisa wa Tume aliyepotea Kenya akutwa amefariki Kilombero
Saa chache baada ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ya Kenya kumtangaze Dk William Ruto kuwa Rais mteule wa Kenya, mwili wa ofisa wa tume hiyo [...]
Alichosema Ruto baada ya ushindi
Baada ya Tume Huru ya Uchaguzi kumtangaza Dk William Ruto kuwa mshindi (Rais Mteule) wa uchaguzi uliofanyika Agosti 9 mwaka huu, ametaja siri ya ushi [...]
Rais Samia awaonya wanaofanya urasimu kwenye utoaji wa Visa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameagiza maafisa wanaoshugulikia hati za kumruhusu mtu kuingia nchini (VISA) kuacha u [...]
Urusi wavutiwa na Rais Samia
Serikali ya Urusi imesema sera ya uwazi ya Rais Samia Suluhu Hassan inawatia moyo na kuahidi kuhamasisha uwekezaji,biashara na watalii wengi wa Urusi [...]
Msimamizi wa uchaguzi Kenya atoweka
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya, Wafula Chebukati amevitaka vyombo vya usalama kusaidia kumrudisha afisa wa IEBC ambaye ali [...]
Baba yake Lupita ashinda uchaguzi Kenya
Mwigizaji aliyeshida tuzo ya Oscar, Lupita Nyong'o jana Agosti 11,2022 amempongeza baba yake kwa kushinda muhula wa pili na wa mwisho kama gavana wa k [...]