Category: Kimataifa
WhatsApp kuwaongezea nguvu Ma-admin
Mtandao wa kijamii wa WhatsApp siku zijazo utawaongezea nguvu viongozi wa makundi ya mtandao huo kuwa na uwezo wa udhibiti ikiwemo kufuta ujumbe wa wa [...]
Tanzania na Zambia zafufua uhusiano na ushirikiano
Ukurasa mpya ndiyo unavyoweza kusema baada ya Tanzania na Zambia kufufua upya uhusiano wa kindugu na ushirikiano katika sekta mbalimbali ikiwemo kilim [...]
DK. Kikwete achaguliwa kuongoza uchaguzi Kenya
Rais wa awamu ya nne wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ameteuliwa kuongoza ujumbe wa Wachunguzi wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya kutoka Jumuiya ya Afrik [...]
‘Girlfriends day’ ni kwa Marekani tu
Leo Agosti 1, ni siku ya marafiki wa kike ‘girlfriends day’ na tofauti na ilivyo kwa siku ya wapendanao, siku hii ni mahususi kwa wanawake kwa ajili y [...]
Rais wa Burundi mwenyekiti mpya wa EAC
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amechukua rasmi nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kutoka kwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyat [...]
Uganda wavutiwa na Tanzania
Wabunge wa Uganda waliokuja kutembelea miundombinu ya nishati nchini wakiongozwa na Waziri wa Nchi, Maendeleo ya Nishati na Mdibi, Dkt. Peter Lokeris [...]
Rais Samia akemea uharibifu wa miundombinu
Rais Samia Suluhu Hassan amekemea tabia ya baadhi ya wananchi wanaoharibu miundombinu ya barabara ikiwemo kuchimba mchanga kwa sababu vitendo hivyo vi [...]
Matumizi ya trilioni 2.4 za IMF
Wizara ya Fedha na Mipango, imesema trilioni 2.4 zilizoidhinishwa na Shirika la Kimataifa la Fedha (IMF) ni kutokana na utendaji kazi wa Rais Samia Su [...]
Tanzania kupokea trilioni 2.4 mkopo kutoka IMF
Bodi ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeridhia mkopo wa dola za Marekani bilioni 1.046 (Takriban Tsh. 2.422,536,000,000) kwa Tanzania katika kipindi [...]
Mradi wa umeme Rusumo wafika asilimia 95
Imeelezwa kuwa, kukamilika kwa mradi wa umeme wa Rusumo wa megawati 80 kutaimarisha hali ya upatikanaji umeme katika mikoa ya Kanda ya Ziwa ambapo kum [...]