Category: Kimataifa
Sauti Sol kukishtaki Chama cha Azimio
Bendi maarufu ya Afropop Sauti Sol imetishia kuchukua hatua za kisheria dhidi ya chama cha muungano cha Azimio La Umoja kwa madai ya ukiukaji wa hakim [...]
Waziri angongwa na bodaboda
Ofisa wa ngazi ya juu katika Serikali na chama cha upinzani cha Sudan People’s Liberation Movement in Opposition(SPLM-IO), Lual Lual Gau, amejeruhiwa [...]
Tanzania yaguswa na kifo cha Rais wa UAE
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi LIberata Mulamula (Mb) amesaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Umoja wa Fal [...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 14, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Wabunge waomba mshahara milioni 23
Wabunge wa Kenya wameomba ongezeko la 62% ya mshahara wao ili kufikia shilingi milioni 1.15 ya Kenya sawa na milioni 23 za Kitanzania.
Wabunge hao [...]
Ushahidi wa mauaji mikononi mwa Tumbili
Kesi ya mauaji iliyotokea 2016 imeahirishwa baada ya Tumbili kuiba ushahidi nyeti wa kesi hiyo.
Polisi wa Rajasthan hivi karibuni wameshindwa kufik [...]
Kilichomtesa Rais wa UAE kwa miaka 8
Rais Sheikh Khalifa bin Zayed al-Nahyan wa Umoja wa Falme za Kiarabu (United Arab Emirates) amefariki dunia hii leo akiwa na umri wa miaka 73.
Kwa [...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 13, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Tanzania na Jamaica kuimarisha ushirikiano
Serikali ya Tanzania na Jamaica zimeahidi kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano katika sekta za utalii, biashara na uwekezaji pamoja na elimu kwa masla [...]
Tathmini ya ziara za Rais Samia Suluhu
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus, ametoa na kueleza dondoo za tathmini ya ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. [...]