Category: Kimataifa
Polisi adakwa akivuta bangi
Inspekta Jenerali wa Polisi jijini Lagos, Usman Baba Alkali ameagiza uchunguzi wa kina ufanyike kwa lengo la kufichua utambulisho wa afisa wa polisi a [...]
iPhone 13 kuanza kutengenezwa India
Kampuni ya Apple imesema kwamba sasa simu zao aina ya iPhone 13 zitaanza kuzalishwa nchini India.
Apple imekuwa ikihamisha baadhi ya maeneo ya ute [...]
Malkia Elizabeth II aelezea alivyotandikwa na UVIKO
Malkia wa Uingereza, Elizabeth II ameelezea aliyopitia alipougua Uviko-19 kwa njia ya mtandao wakati wa Uzinduzi wa "Queen Elizabeth Unit" katika Hosp [...]
WAKE: Tuna haki ya kwenda Dubai kama michepuko
Kikundi cha wanawake jijini Kampala wamefanya maandamano asubuhi hii ya leo tarehe 11 mwezi Aprili wakishinikiza wanaume zao kuwaongezea kiwango cha p [...]
Viwango vya kubadili fedha Aprili 10, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Jada: Sikutaka kuolewa na Will
Baada ya Will Smith kufungiwa kushiriki Tuzo za Oscars kwa miaka kumi kwa kuonekana kuchukulia 'serious' utani wa mchekeshaji Chris Rock kuhusu mke wa [...]
Rais Samia aibuka kinara
Rais Samia Suluhu Hassan ametangazwa mshindi wa tuzo ya Babacar Ndiaye kwa mwaka 2022 baada ya viongozi na watu mashuhuri kutambua mchango wake katika [...]
Zitto aikosoa ramani ya EAC
Mwenyekiti wa ACT, Zitto Kabwe ameikosoa ramani mpya ya Umoja wa nchi za Afrika Mashariki kwa kusema kwamba haijakamilika kwa kukosekana Zanzibari.
[...]
Aliyeimba ‘Ekwueme’ afariki dunia
Mwanamuziki wa Nyimbo za Injili kutoka Nigeria aitwaye Sis Osinachi Nwachukwu maarufu kwa wimbo wake "Ekwueme" amefariki dunia akiwa na umri wa miaka [...]
Viwango vya kubadili fedha Aprili 9, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]