Category: Kimataifa
Tanzania, Uswisi na Ufaransa mambo safi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) amekutana kwa pamoja na kufanya mazungumzo na mabalozi wa Ufar [...]
Viwango vya kubadili fedha Aprili 12, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Polisi adakwa akivuta bangi
Inspekta Jenerali wa Polisi jijini Lagos, Usman Baba Alkali ameagiza uchunguzi wa kina ufanyike kwa lengo la kufichua utambulisho wa afisa wa polisi a [...]
iPhone 13 kuanza kutengenezwa India
Kampuni ya Apple imesema kwamba sasa simu zao aina ya iPhone 13 zitaanza kuzalishwa nchini India.
Apple imekuwa ikihamisha baadhi ya maeneo ya ute [...]
Malkia Elizabeth II aelezea alivyotandikwa na UVIKO
Malkia wa Uingereza, Elizabeth II ameelezea aliyopitia alipougua Uviko-19 kwa njia ya mtandao wakati wa Uzinduzi wa "Queen Elizabeth Unit" katika Hosp [...]
WAKE: Tuna haki ya kwenda Dubai kama michepuko
Kikundi cha wanawake jijini Kampala wamefanya maandamano asubuhi hii ya leo tarehe 11 mwezi Aprili wakishinikiza wanaume zao kuwaongezea kiwango cha p [...]
Viwango vya kubadili fedha Aprili 10, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Jada: Sikutaka kuolewa na Will
Baada ya Will Smith kufungiwa kushiriki Tuzo za Oscars kwa miaka kumi kwa kuonekana kuchukulia 'serious' utani wa mchekeshaji Chris Rock kuhusu mke wa [...]
Rais Samia aibuka kinara
Rais Samia Suluhu Hassan ametangazwa mshindi wa tuzo ya Babacar Ndiaye kwa mwaka 2022 baada ya viongozi na watu mashuhuri kutambua mchango wake katika [...]
Zitto aikosoa ramani ya EAC
Mwenyekiti wa ACT, Zitto Kabwe ameikosoa ramani mpya ya Umoja wa nchi za Afrika Mashariki kwa kusema kwamba haijakamilika kwa kukosekana Zanzibari.
[...]

