Category: Kimataifa
Kampuni 5 bora za Smartphone duniani
1. SamsungSamsung ni kampuni ya kielektroniki ya kimataifa yenye makao yake Korea Kusini ambayo pia ni kampuni kubwa zaidi ulimwenguni ya utengeneza [...]
Guinea yatolewa ECOWAS baada ya mapinduzi
Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imeitenga nchi ya Guinea baada ya mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika ndani ya taifa hilo.
[...]
Matumaini ya DRC kujiunga EAC yaongezeka
Maombi ya DRC kujiunga katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambayo yalitumaa kwa mara ya kwanza mwaka 2019, yapo katika hatua nzuri.Bara [...]

Taliban yaunda serikali ya mpito
Kikosi cha Taliban kimetangaza kuunda serikali ya mpito nchini Afghanistani ambapo wameweka bayana kuwa serikali hiyo itaongozwa na moja ya viongozi w [...]
Taliban yatangaza kulitwaa bonde la Panjshir
Kundi la Taliban limesema kwamba limelitwaa bonde la Panjshir, ikiwa ni hatua za kuimarisha utawala wao nchini Afghanistan.
Eneo hilo linakaliwa na [...]
Mfahamu Rais aliyepinduliwa Guinea
Kwenye uchaguzi wa Guinea mwaka 2010, Alpha Conde alikuwa mpinzani mkuu kwa Serikali iliyokuwa ikimaliza muda wake. Alipendwa na wanaharakati wa masua [...]
Wafahamu Marais 5 wa Afrika waliouawa wakiwa madarakani
Matukio ya kuuawa kwa viongozi wa juu wa nchi duniani yamekuwa yakipingua kasi katika miongo ya hivi karibuni, lakini hata kwa uchache wake bado yanat [...]
Ajifanya Makamu wa Rais na kutibiwa bure
Hii nayo kali : jamaa mmoja kafika zake hospitali, akajitambulisha kama Makamu Rais, akapewa heshima zote na kupatiwa matibabu bure kabisa.
Imetoke [...]
Serikali kuongeza mapato kupitia Facebook, Twitter na Google
Hivi karibuni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba alisema kuwa Serikali ya Tanzania inatafuta namna ya kuyabana makampuni makubwa ya mita [...]
Vita kati ya Taliban na Pashnjir yanukia Afghanistan
Taliban tayari wamejihakikishia rasmi taifa la Afghanistan liko chini yao hivyo mipango na kila kitu ndani ya taifa hilo itatokana na matwakwa yao. Wa [...]