Category: Kitaifa
Agizo la Dkt. Mpango kwa Nape
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amemuagiza Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ku [...]
Umoja Party wamlilia Rais Samia
Uongozi wa Chama cha Umoja Party umemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, kuingilia kati kuhakikisha wanapata haki yao ya usajili katika Ofisi za Msajili w [...]
CCM kuimarisha muungano
Ikiwa leo Aprili 26, 2022 siku ya kuadhimisha Muungano katika ya Tanganyika na Zanzibar, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kwamba hakitaacha kuendele [...]
Viwango vya kubadili fedha Aprili 26, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Air Tanzania: Ndege zipo salama
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imetoa ufafanuzi kuhusiana na habari iliyosambaa mitandaoni kuhusu hali ya matairi ya ndege zake ambayo inadaiwa kuwa [...]
8 wafariki, ajali ya basi la shule
Watu nane wamefariki dunia na wengine 19 kujeruhiwa katika ajali iliyotokea mkoani Njombe kati ya basi la shule aina ya coaster na lori.
Coaster hi [...]
TCU, UTUMISHI MBADILIKE
Hivi karibuni Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Utumishi wa Umma na Utawala Bora), Jenista Mhagama ametangaza kuwa zaidi ya nafasi za ajira takribani 40,0 [...]
Mrithi wa Rwakatare apatikana
Takribani miaka 2 tangu kifo cha Mwasisi wa Makanisa ya Mlima wa Moto Mikocheni ‘B’, Getrude Rwakatare na sasa nafasi hiyo inachukuliwa na Rose Mgetta [...]
UVCCM yawakingia kifua bodaboda
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Kenani Kihongosi amesema chama kinawaonya viongozi wanaosababisha usumbufu kwa madereva [...]
Viwango vya kubadili fedha Aprili 25, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]