Category: Kitaifa
Ngorongoro: Tembo aua mmoja
Mtu mmoja aliyefahamika kwa majina ya Narudwasha Titika (45), mkazi wa kijiji cha Alaitore kilichopo ndani ya Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro amefari [...]
NECTA kuja na mfumo mpya wa usahihishaji
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema mfumo mpya wa usahihishaji mitihani utaokoa shilingi milioni 550 zinazotengwa kwa [...]
Muhimbili: Hatuhusiki
Hospitali ya Taifa Muhimbili imetoa taarifa ya kukataa kuhusika na usambazaji wa video inayomuonyesha Mwanamuziki Profesa Jay akiwa katika chumba cha [...]
Konyagi yaja na chupa ya mwanamke
Katika kusherekea Siku ya Wanawake Duniani, Kampuni ya Tanznaia Distilleries Limited, kupitia kinywaji chake cha Konyagi imezindua chpa maalumu ikilen [...]
Tahadhari homa ya manjano
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Watanzania wanapaswa kuchukua tahadhari ya mlipuko wa ugonjwa wa homa ya manjao uliopo nchini Kenya na kuahidi ku [...]
Maagizo ya Makalla kwa Taasisi hizi
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amezielekeza Taasisi za TANROAD, TARURA, DAWASA NA TANESCO kuhakikisha wanaboresha utoaji wa huduma il [...]
Changamoto mwendokasi basi
Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) umesema mwaka huu utaongeza mabasi mengine mapya 95 ikiwa ni sehemu ya hatua za kupunguza msongamano wa abiria [...]
Waiba jeneza msikitini
Watu wasiojulikana katika kijiji cha Rivango, kata ya Mchauru, wilayani Masasi mkoani Mtwara, wamevunja mlango wa msikiti na kuiba jeneza linalotumika [...]

Rais Samia na fursa za uchumi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema serikali inajipanga kukabiliana na changamoto za kiuchumi zinazosababishwa na jang [...]
Zungu amuahidi Samia urais 2025
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azan Zungu amemtaka Rais Samia Suluhu kutokuwa na wasiwasi kuhusu uchaguzi Mkuu ujao wa [...]