Category: Kitaifa
Uteuzi kutoka Chama cha Mapinduzi
Chama cha Mapinduzi CCM kimefanya uteuzi wa Makatibu wa Mikoa na Wilaya wa Chama hicho leo tarehe 08 Novemba 2021. Taarifa iliyotolewa na CCM imeeleza [...]
Pesa za ujenzi zaanza kuwa za moto, Afisa manunuzi atumbuliwa
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema amemsimamisha kazi kwa kipindi cha miezi miwili Afisa manunuzi wa wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga anaejulik [...]
Mwanafunzi bora kitaifa darasa la saba kupewa ufadhili wa masomo
Aliyeibuka kuwa Mwanafunzi bora kitaifa kwenye matokeo ya darasa la saba, Eluleki Haule ambaye alisoma shule ya St Anne Marie Academy ameahidiwa kuso [...]
Watoto wa Ibilisi 117 wanaswa Tanga
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga Sophia Jongo amesema Jeshi la Polisi mkoani Tanga limewakamata watoto 117 wanaojiita watoto wa ibilisi wanaotuhumiwa k [...]
Watoto Ibilisi 117 wanaswa Tanga
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga Sophia Jongo amesema Jeshi la Polisi mkoani Tanga limewakamata watoto 117 wanaojiita watoto wa ibilisi wanaotuhumiwa k [...]
Mguu uliokatwa wa maiti mwenye ualbino wapatikana
Zikiwa tayari zimepita wiki mbili tangu kufukuliwa kwa kaburi la Shekigenda Kijangwa (35) mwenye ulemavu wa ngozi (ualbino) na kukutwa na mguu wake um [...]
Wanaotumia mvuke kujisafisha uke hatarini
Madaktari wameonya mataumizi ya njia za kujifukiza ukeni wakisema huua bakteria walinzi na kuweka hatarini kupata mambukizi ya magonjwa. Kauli ya wata [...]
Madini bado yanatoroshwa
Licha ya Serikali kutangaza kuziba mianya ya utoroshaji wa madini, baadhi ya wabunge wamesema bado rasilimali hiyo inatoroshwa. Mjadala huo mzito umei [...]
Mume auwawa kwa kutaka kuongeza mke wa pili
Limi Shija (55) mkazi wa Kijiji cha Kabage wilayani Tanganyika mkoani Katavi, anatuhumiwa kwa mauaji ya mume wake Masunga Kashinje (68), kisha mwili w [...]
Siku 5 za neema toka Bodi ya Mikopo kwa wanaotaka kuongezewa na waliokosa mkopo
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Jumamosi, Novemba 6, 2021) imefungua dirisha la rufaa ili kuwawezesha waombaji ambao hawajapa [...]