Category: Kitaifa
Machinga kupewa majengo ya NHC
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angeline Mabula ameagiza kuboreshwa kwa majengo matatu ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) a [...]
Huyu ndiye mwanzilishi wa chama kipya cha Umoja
Imebaki miaka minne kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 nchini Tanzania. Chama kipya cha siasa kilijulikano kama Umoja Party (UP) kimeibuka kuomba us [...]
Ukatili kwa waandishi wa habari wapungua
Ofisa Programu Mwandamizi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Paul Malimbo amesema matukio ya waandishi wa habari kupigwa, kunyang’anywa vifaa vyao vy [...]
EWURA yatangaza bei elekezi mafuta ya Petroli
Kutokana na ongezeko la bei ya mafuta ghafi tangu mwezi mei 2020 ambapo bei imeongezeka mara mbili kutoka wastani wa dola za kimarekani 32 kwa pipa mw [...]
Ushahidi wa maboksi ya fedha kwenye kesi ya Sabaya
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, imepokea video sita zilizokuwa kwenye 'flash disk' iliyowasilishwa kama ushahidi wa upande wa Jamhuri katika [...]
Diwani ataka mabadiliko kampeni ya tohara
Diwani wa Mwankulu Manispaa ya Mpanda, Kapili Katani amelalamikia kampeni inayofanywa na watoa huduma wa tohara kwa wanaume kwa kuwataka wanawake kuwa [...]
Mwalimu Mkuu akamatwa kwa udanganyifu mtihani darasa la 4
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Shimbale, Gaudensia Anyangi(45), amekamatwa na Jeshi la Polisi Mkoani Simiyu kwa tuhuma za kufanya udanganyifu katika [...]
Rugemalira arudi Mahakamani tena
Mfanyabiashara James Rugemalira, ameanza harakati za kufungua mashtaka dhidi ya taasisi anazozituhumu kuhusika katika wizi wa trilioni 61 za Serikali [...]
Akamatwa akiwa amemeza kete 101 za dawa za kulevya
Jeshi la Polisi visiwani Zanzibra linamshikilia Rashid Habib Muhsin (53) baada ya kumkamata akiwa amemeza kete 101 dawa za kulevya aina ya 'heroin'.
[...]
Wafukua kaburi la mwenye ualbino na kuondoka na viungo
Watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Tanga kwa madai kufukua kaburi la kijana mmoja mwenye ualbino na kutoweka na jeneza na mabaki ya m [...]