Category: Kitaifa
Maagizo ya Serikali kwa mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza mabalozi wa Tanzania nje ya nchi waimarishe biashara na nchi wanapokwenda kwani wana jukumu la kukuza uchumi wa [...]
Majaliwa amwakilisha Rais kwenye mazishi ya Ole Nasha
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemwakilisha Rais Samia Suluhu katika mazishi ya aliyekuwa Mbunge Ngorongoro na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu [...]
Taarifa ya serikali kuhusu kamati inayochunguza kupanda bei za mafuta
Kamati iliyoundwa kuchunguza kupanda kwa bei ya mafuta (petroli, dizeli na mafuta ya taa) imewasilisha ripoti yake kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
[...]
Saba wafariki ajalini Dodoma
Watu saba wamefariki katika ajali iliyotokea kwenye Mlima Kolo, Kata ya Kolo, wilayani Kondoa mkoani Dodoma leo asubuhi baada ya basi la Emigrace (T 7 [...]
BAKWATA yapoteza umiliki wa ekari 40
Mahakama Kuu Morogo Kitengo cha Ardhi imefulia mbali uamuzi wa Baraza la Ardhi na Makazi la Wilaya ya Kilombero uliotoa haki ya uamiliki wa ekari 40 z [...]
Wanakijiji wapiga mawe gari la Mkuu wa Wilaya
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela ameagiza kukamatwa baadhi ya wanakijiji cha Engaroji kuwa kupiga mawe gari ya Mkuu wa Wilaya ya Monduli.
Wanak [...]
Zaidi ya Bilioni 100 kwa ajili ya Postikodi
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Ashatu Kijaji amesema serikali chini ya Raisi Samia Suluhu Hassan imetenga zaidi ya shiling [...]
Matukio makubwa 10 yaliyotikisa Septemba 2021 nchini Tanzania
Siku 30 za Septemba zimemalizika usiku wa kuamkoa leo. Katika saa 720 za mwezi huo, matukio mengi yametokea nchini kuanzia kwenye siasa, michezo hadi [...]
Kauli ya serikali kuhusu magari ya Tanzania yaliyokwama Malawi
Serikali ya Tanzania kupitia ubalozi wake nchini Malawi inafuatilia taarifa kuhusu magari ya mizigo ya wasafirishaji wa Tanzania yaliyokwama nchini hu [...]