Category: Kitaifa
Madaktari wapendekeza chanjo ya UVIKO-19 iwe lazima
Katika kuimarisha mapambano dhidi ya ugonjwa wa UVIKO-19, waganga wakuu wa mikoa wameishauri Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watot [...]
Sababu 5 za Rais wa CWT kusimamishwa kazi
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimemsimamisha kazi Rais wa chama hicho, Leah Ulaya kutokana na masuala mengi ikiwamo kushindwa kuwaunganisha walimu m [...]
Serikali yatoa tahadhari homa ya uti wa mgongo
Serikali imewataka Watanzania kuchukua tahadhari kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo uliotokea katika jimbo la Tshopo nchini DRC Cong [...]
Toyota IST hatarini Dar es Salaam
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amewataka wamiliki wa magari aina ya Toyota IST kuongeza ulinzi kwenye magari yao kufu [...]
Mfahamu mfanyabiashara James Rugemalira
Mahakama ya Hakimu Makazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imemwachia huru mfanyabiashara James Rugemalira baada ya kukaa mahabusu kwa muda wa miaka mi [...]
Mahakama yamwachia huru Rugemalira
Mahakama ya Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo Septemba 16, 2021 imemwachia huru James Rugemalira baada ya Mwendesha Mashitaka wa Serikali kufut [...]
Maofisa wa polisi kizimbani leo kesi ya Mbowe
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Alhamis Septemba 16, 2021 itaendelea kupokea ushahidi wa jamhuri katika kesi ya uhuju [...]
Vijana 500 wapewa siku 7 kuondoka mkoa wa Kilimanjaro baada ya kutapeliwa
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Steven Kagaigai, ametoa siku saba kwa vijana zaidi ya 500, wanaodaiwa kutapeliwa ajira na kampuni ya Alliance Motion in G [...]
Rais Samia: Tanzania imekomaa kidemokrasia
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imekomaa na inaongozwa kwa kufuata misingi ya kidemokrasia.
Akizungumza na wanawake waliokusanyika kwenye [...]
Kesi ya Mbowe kuanza kusikilizwa leo
Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, leo inatarajiwa kuanza kuwasikiliza mashahidi wa upande wa Jamhuri katika k [...]