Category: Kitaifa
Waziri Mkuu akagua Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipokagua ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi iliyopo eneo la Rungwa, Mpanda, [...]

Rais Samia apewa kongole na mabalozi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo amepokea hati za utambulisho wa mabalozi watano walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao h [...]
Katiba sio tatizo, Watanzania hatujui tunataka nini
Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa tangu kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za ugaidi, kumekuwapo na sa [...]
Askofu Ruwai’chi aagiza mapadri kupata chanjo dhidi ya Uviko-19
Askofu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Yuda Tadheus Ruwai’chi ameagiza mapadri wote wa jimbo hilo kupata chanjo dhidi ya Uviko 19 [...]