Category: Kitaifa

1 202 203 204 205 206 213 2040 / 2124 POSTS
Kauli ya Lowassa kuhusu hotuba ya Rais Samia UN

Kauli ya Lowassa kuhusu hotuba ya Rais Samia UN

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Ngoyai Lowassa, ameandika waraka mfupi ambao pamoja na mabo mengine, umepongeza hotuba aliyoitoa Rais Samia jana kwenye [...]
Fahamu: Baba yake Wema Sepetu aliwahi kuiwakilisha Tanzania Umoja wa Mataifa (UN)

Fahamu: Baba yake Wema Sepetu aliwahi kuiwakilisha Tanzania Umoja wa Mataifa (UN)

Isaac Abraham Sepetu alizaliwa Oktoba, 15 1943 nchini Tanzania (Tanganyika) mkoani Tabora. Balozi Isaac Abraham Sepetu ni moja kati ya wasomi mahiri n [...]
Serikali yasitisha ununuzi wa mahindi Songea

Serikali yasitisha ununuzi wa mahindi Songea

Serikali imesitisha ununuzi mahindi katika Kituo Kikuu cha Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), Kanda ya Songea kilichopo Ruhuwiko mkoani Ruv [...]
Rais Samia: Tutafungua mikono kwa wote watakaotuunga mkono

Rais Samia: Tutafungua mikono kwa wote watakaotuunga mkono

Rais Samia Suluhu Hassan amehimiza ushirikiano wa kimataifa kukabili changamoto likiwemo janga la UVIKO-19, uchumi na mabadiliko ya tabia ya nchi. [...]
Marais wa Tanzania waliowahi kutoa hotuba Baraza la Umoja wa Mataifa (UN)

Marais wa Tanzania waliowahi kutoa hotuba Baraza la Umoja wa Mataifa (UN)

1. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (1961 - 1985) Mwalimu Julius Nyerere ameshiriki mara tano katika Mkutano wa Baraza la Umoja wa Mataifa lakini a [...]
Rekodi ya Rais Samia Umoja wa Mataifa

Rekodi ya Rais Samia Umoja wa Mataifa

Rais Samia Hassan Suluhu leo Septemba 23, 2021 atahutubia mkutano wa 76 wa Baraza la Umoja jiijini New York, Marekani. Historia inaonesha kuwa Tanz [...]
Kesi ya Mbowe yatupiliwa mbali

Kesi ya Mbowe yatupiliwa mbali

Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali kesi ya kikatiba ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, aliyekuwa akipinga namna alivyokamatwa, kuwekwa ki [...]
Rais Samia ahimiza kuimarishwa biashara kati ya Tanzania na Marekani

Rais Samia ahimiza kuimarishwa biashara kati ya Tanzania na Marekani

Rais Samia Suluhu Hassan amewahimiza na kuwaeleza wafanyabiashara wa Tanzania na Marekani kuimarishwa ushirikiano wa kibiashara kati ya mataifa hayo m [...]
Achoma nyumba moto kisa mapenzi

Achoma nyumba moto kisa mapenzi

Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Kida, mkazi wa jijini Tanga, anadaiwa kuchoma moto nyumba ya mama mzazi wa mpenzi wake. Tukio hilo lime [...]
Trilioni 1 zapatikana soko la madini Geita

Trilioni 1 zapatikana soko la madini Geita

Soko kuu la dhahabu mjini Geita limeingiza jumla ya shilingi trilioni 1.1 tangu kuanzishwa kwake mwa 2018. Akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi [...]
1 202 203 204 205 206 213 2040 / 2124 POSTS
error: Content is protected !!