Category: Kitaifa
CHADEMA: Tumechoka mtu wetu kuwa mkimbizi
Chama cha Demokrasia (CHADEMA) mkoa wa Singida kimesema kimechoka kumwona Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu akiishi ughaibuni kama mkimbiz [...]
Wanaotupa taka wazomewe
Mhe. Amos Makalla amesema licha ya uwepo wa sheria na kanuni za kuwadhibiti wachafuzi wa Mazingira hususani wanaotupa taka hovyo ni vyema pia ikae [...]
Helikopta kutua Mlima Kilimanjaro
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imesema imeridhishwa na miundombinu ya utalii ikiwemo viwanja vya kutua helikopta katika Hifad [...]
Watahiniwa 566,840 kidato cha nne kuanza mtihani kesho
Jumla ya watahiniwa 566,840 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kidato cha nne utakaoanza kesho Novemba 14, 2022 Tanzania Bara na Zanzibar.
Kaimu Mtend [...]
Lady Jaydee kusimama na Rais Samia
Rais Samia Suluhu Hassan, amepongezwa kwa kuleta suluhu nchini Tanzania kwa kuwaunganisha Watanzania bila kujali itikadi zao, dini au jinsia katika ku [...]
Matunda ziara ya Rais Samia nchini China na Misri
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus, amezungumza na waandishi wa habari kuhusu ziara ya Rais Samia nchini China na Misri.
Zuhura [...]
Royal Tour yajibu, watalii zaidi ya 1,000 waja na meli
Ikiwa imepita miaka miwili tangu janga la Uviko-19 litikise dunia na shughuli za utalii kuanza kurejea, jana Tanzania ilipokea meli kubwa ya watalii z [...]
CHADEMA yasusia vikao vya marekebisho ya sheria
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakitashiriki katika vikao vya marekebisho ya sheria vinavyoanza leo na kudai kinachopaswa kuanza [...]
Sababu za Air Tanzania kupunguza miruko
Taarifa iliyotolewa na Kampuni ya Ndege ya Air Tanzania (ATCL) imesema "Kutokana na changamoto za kiufundi kote duniani za injini aina ya PW1524G-3 zi [...]
Nafasi ya kazi Hospitali ya Mount Meru
Tangazo la nafasi ya kazi ya Mkataba- Daktari Bingwa (Radiolojia)- Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha - Mount Meru.
[...]