Category: Kitaifa
Serikali kuja na bei elekezi ya mifugo
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amesema serikali ipo kwenye mchakato wa kushirikisha wadau wa sekta ya mifugo kupanga bei elekezi za kuuzia [...]
Kosa la jinai kupiga picha na karani wa sensa
Serikali imeonya makarani wa sensa ya watu na makazi waache kupiga picha na wananchi wanapoifanya kazi hiyo.
Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dk Albina C [...]
Nani alipe kodi ya pango?
Kutokana na mjadala mpana unaondelea kuhusiana na kodi ya pango ya asilimia 10 inayopaswa kulipwa na wapangaji wa nyumba binafsi, Mamlaka ya Mapato [...]
Vipande vya Tanzanite vyauzwa
Mawe Makubwa Mawili ya Tanzanite moja likiwa na uzito wa kilo 3.74 na jingine likiwa na uzito wa kilo 1.48 yamepatikana ndani ya machimbo ya Tanzanite [...]
Mambo yakufanya kama hautahesabiwa
Kama wewe ni miongoni mwa watu ambao hawajahesabiwa na unafikiri unaweza usipate fursa hiyo katika muda uliopangwa wa siku saba, ondoa shaka maana kil [...]
Serikali imetoa bilioni 15 ununuzi wa magari ya makanda wa polisi
Serikali imetoa kiasi cha Sh bilioni 15 kwa ajili ya kununua magari ya makamanda wa polisi katika mikoa pamoja na wiliaya (OCD) ili kurahisisha utenda [...]
Karani akutwa amelewa Musoma
Watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kujaribu kukwamisha Sensa ya Watu na Makazi mjini Musoma.
Mratibu wa Sensa wa Manispaa ya Musoma, [...]
Fahamu makao makuu ya kuku Tanzania
Ni rasmi sasa Mkoa wa Tabora ndiyo unaoongoza kwa kuzalisha kuku wengi zaidi wa kienyeji Tanzania baada ya takwimu mpya kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwi [...]
Alichokiomba mtoto wa Simbachawene kwa hakimu
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, imemhukumu James Chawene (24), mtoto wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbacha [...]
Karani wa Sensa ajifungua Bunda
Wakati Sensa ya Watu na Makazi ikiendelea vizuri katika Wilaya za Bunda na Rorya mkoani Mara, mmoja wa makarani wa sensa hiyo wilayani Bunda amejifung [...]