Category: Kitaifa
Mrema kuzikwa Alhamisi Agosti 25,2022 Moshi
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha TLP,Agustino Mrema anatarajiwa kuzikwa Alhamisi Agosti 25 katika kijiji cha Kilalacha mkoani Kilimanjaro.
Maziko [...]
Maswali utakayoulizwa siku ya Sensa
Ifuatayo ni orodha ya maswali 100 ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022.
[...]
Mtoto wa Simbachawene asota mahabusu
Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime, amesema bado wanamshikilia mtoto wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simb [...]
TRC yaomba nauli iongezeke kwa 15%
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (LATRA-CCC), limesema limepokea maombi ya ongezeko la nauli za treni kwa asilimia 15 kwa k [...]
Shabiki wa Yanga SC afariki
Uongozi wa Klabu ya Yanga na Kamati ya Utendaji chini ya Rais Eng.Hersi Said umesema umepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali ya Mashabiki wa Yanga wa [...]
AfDB yaipatia Tanzania mkopo wa bilioni 175.5 kwa ajili ya wakulima
Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), imeipatia Tanzania mkopo wa masharti nafuu wa Dola za Marekani milioni 75 (Sh. bilioni 175.5) kusaidia upatikanaj [...]
LATRA kutoza faini 250,000
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu (LATRA) imesema kuanzia Septemba Mosi itaanza kutoza faini ya Sh250,000 mabasi yote yatakayo kiuka sharti [...]
Rais Samia anavyoipambania lugha ya Kiswahili
Rais Samia Suluhu amewasihi wajumbe wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kutumia lugha ya Kiswahili na pia kuharakisha mchakato wa kuifany [...]
Shaka awasha moto Kaliua
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amesema Chama hiko hakiko tayari kuona wala kusikia mtendaji wa [...]
Ruto alivyoibuka kidedea
Hatimaye Tume ya Uchaguzi Kenya imetangaza matokeo ya uchaguzi kama ifuatavyo:
William Ruto - 7,176,141 Votes 50.49%
Raila Odinga - 6 [...]