Category: Kitaifa
Utaratibu mpya wa NHIF wasitishwa
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesitisha mara moja utaratibu mpya wa matibabu uliotolewa na mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ulioanza kutumika [...]
IGP Wambura afanya mabadiliko
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IJP Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo kwa baadhi ya Makamanda wa Polisi ili kujaza nafasi zilizokuwa wazi. [...]
Bilioni 100 ya Samia yapunguza makali bei ya mafuta
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika [...]
Shaka: Tanzania tunaye muongoza njia
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amewataka viongozi wa Chama na serikali kuwashirikisha v [...]
Marekani wamuua naibu wa Osama Bin Laden
Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza kwamba kiongozi wa kundi la al-Qaida, Ayman al-Zawahiri, ameuawa kwa shambulizi la ndege isiyo na rubani ya Mare [...]
Maagizo ya Rais Samia kwa Chamila
Baada ya kutohudumu katika nafasi ya uongozi kwa zaidi ya mwaka mmoja, hatimaye Albert Chalamila ameapishwa jana kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera huku aki [...]
Rais Samia afanya uteuzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Zakhia Hamdan Meghji kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Sayans [...]
Rais Samia ataja vigezo vya kuteua viongozi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Agosti 1,2022 amewaapisha viongozi wateule Ikulu, Dar es Salaama na kutaja vigez [...]
Simba wasaini bilioni 26.1 na M- Bet
Klabu ya Simba ya Dar es Salaam na Kampuni ya michezo ya kubashiri ya M-Bet, leo wametangaza mkataba wao wa udhamini wa miaka mitano wenye thamani ya [...]