Category: Kitaifa
Nyani waua mtoto mchanga
Kundi la nyani wa hifadhi ya Gombe iliyopo kijiji cha Mwamgongo wilayani Kigoma, limevamia nyumba ya Shayima Faya (20) na kumpokonya mtoto mchanga wak [...]
Jacqueline apata ubalozi
Miss Tanzania mwaka 2000 Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi amechaguliwa kuwa balozi wa wa wanawake wenye ulemavu Tanzania.
[...]
Sabaya kizimbani leo
Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne leo Jumatatu Juni 20, 2022 wamefikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kusikiliza [...]
Tahadhari upepo mkali kwa siku tatu
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetahahdarisha umma kuwepo vipindi vya upepo mkali katika Bahari ya Hindi kwa siku tatu mfululizo kuanzia leo. [...]
Umuhimu wa uwekaji mipaka Loliondo
Wataalamu wa wanyamapori katika Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Afrika (Mweka) wamepongeza uamuzi wa serikali kuweka mipaka ya eneo la Pori Tengefu [...]
Zanzibar ndani ya Ligi Kuu ya Uingereza
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi akutana na kufanya mazungumzo na timu ya Masoko ya Klabu ya Southampton ya Ligi Kuu ya Uingereza.
Wamefanya [...]
Mtoto wa miaka 2 akatwa shingo na kutupwa
MTOTO wa miaka miwili, Nkeya Thomas ameuawa kwa kukatwa shingo na watu wasiojulikana na mwili wake kutupwa kichakani katika Kijiji cha Nyamigogwa, Kat [...]
Viongozi 10 Ngorongoro kutojulikana walipo
Wakati Serikali ikisema uwekaji mipaka katika pori la Loliondo unaendelea vizuri, Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai ameendelea kulalamika kut [...]
Milioni 100 ukimpata huyu mchina
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dar es salaam linamtafuta mtuhumiwa, Zheng Lingyao (42) Raia wa China, Mkazi wa Jijini Dar es Salaam Kwa tuhuma kumuua Nannan, [...]
Ushuru Daraja la Tanzanite
Serikali imesema magari yataanza kulipia fedha yanapopita kwenye Draja la Tanzanite na katika barabara nyingine mbili za haraka za Kibaha-Mlandizi - C [...]